Unataka nchi ijenge reli , bwawa la umeme, kukarabati n kunda meli za zamani n mpya, upanuaji wa bandari, ujenzi wa viwanja vya ndege ,kununua ndege na kununua rada,kujenga maghala ya vyakula nchi nzima,kusambaza maji na umeme mpaka vijijini , uwekezaj katika masoko y madini n kulinda raslimali hii adhim, kujenga mahospital na vituo vya afya, elimu bure msingi mpaka sekondari o level, hakuna mkoa ambao haujapata stend hata moja heidha mradi umekamilik au unajengwa, ujenzi wa masoko, hakuna mkoa hauja pata lami Tz yote mijini, sijui ma BRT 2 , Flyovers plus Interchange mara kibaha highway , sijui mwenge to moroco 9 lines mara uku Tanzanite bridge kule kigongo busisi sijui wami oohhh sijui uko Tanga nako mabridge ...hujakaa sawa unasikia mareli ya zamani yamefufuliwa ooh na mm ntaenda chuga kwa train yani utafikiri ni michezo ya kuigiza kumbe ndio ukweli huoo...mara deni la Taifa limeshuka aisee ....haya ni yale niliyo kumbuka kwa sasa [emoji16][emoji16] kweli unakuja n akili ya kuvukia barabar unasema kuongezwa vyeo n mishara ww wapaswa kujitafakari
fikiria nimekaa tu haya yote yanakuja kichwan
Ww km unamiliki nyumba au majumba utaelewa hili ...hakuna kazi kama kufanikisha kujenga nyumba yako especially for the first time mambo mengi lazima ya kwame...sasa huyu mzee Anaijenga nchi kwanza iyo mishara n vitu vingine vitakuja
Ivi siniwee uliye tufany watot kutuambia maswala ya kikwete kujenga km 8500 sijui 9000 za lami....Aisee ningejua ni ww nisinge jisumbua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]