tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
I know thatThika road iko hadi Nairobi
I know thatThika road iko hadi Nairobi
Uzi wa mwaka 2013 huu ndio unauleta leo hapa?
Na huu Uzi ni Nai vs Dar so elewaI know that
🇹🇿🇹🇿👏👏👏
Inapendeza sanaMeli ni tamu kichizi aisee.
Wakenya leten hata meli moja Tu ya serikali View attachment 1491010View attachment 1491011View attachment 1491013View attachment 1491014View attachment 1491015
Asikwambie kitu kelel zote JK alijenga km6103 miaka 10 ....sasa uyu kajeng 3500 mial 5 nani kafany zaidAwamu ya nne ilijenga reli gani?
Awamu ya nne shirika la ndege lilifia mikononi mwake.
Awamu ya nne meli zilifia mikononi mwake.
Kuna madeni ya walimu na wakandarasi Toka 2015 amekuja kulipa JPM.
Rushwa ilikithiri awamu ya nne.
Umeme ulikuwa unakatika hovyo, vijiji vya umeme vilikuwa elfu mbili na kitu pamoja na kuwepo ufadhili wa MCC.
Makusanyo ya kodi 850b, sasa hivi JPM a nakusanya karibu mara mbili ya JK.
Kuna halmashauri za wilaya na mikoa zilianzishwa bila miundombinu, sasa JPM ndio anaejenga ofisi, hospitali, vituo vya afya, stendi nk.
Miradi ya maji nk
Uking'ang'ania barabara tu, kumbuka kuna miradi mingine ambayo Jk wala hakuigusa JPM a nafanya.
Jiulize bwawa la umeme, sgr, na upanuzi bandari dar, hii miradi 3 JPM angeamua kujenga barabara tu zingekuwa km ngapi, ukumbuke miradi hii 3 ni zaidi ya trillioni 10.
Simlaumu Jk ila alikuwa na udhaifu fulani katika usimamiaji.
November last year 75%kwan mlipokua munajenga reli ikipita nairobi national park kulikua hakuna simba ??
alaf bahat nzuri
phase one iko 80% 300km
phasr two iko 38% 442km
na zote zinajengwa kwa speed ile ilethe modern electric train in africa keep in ur mind



Bwahaha!!weae ndio umechanganyikiwa...mwaka unaisha huu pia na bado mko 80%dec 2019usichanganyikiwe
umeshindwa kuzuia hasira😂😂😂😂Bwahaha!!weae ndio umechanganyikiwa...mwaka unaisha huu pia na bado mko 80%