Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nasubiria kumsikia kamanda leo na kesho
Screenshot_20200628-113309.jpg
 
Tanzania isingeweza kuwa middle Income hata kama Kikwete angekaa miaka 100, nchi ilishamshinda, hizo ajira unazosema ndo zile maelfu ya walimu walikuwa wanaajiriwa alafu hawaendi kwenye vituo vya kazi lkn mishahara inaingia, raisi yuko bize kwenda ulaya kuomba pesa kwa ajili ya kulipa mishahara unaendeleaje hapo? Hvyo hilo nalo linahitaji ufike form six kweli jamani? Ufisadi uliopindukia wa wazi wazi enzi za Kikwete, watu wanabeba pesa kwenye viroba ungefikaje middle Income status? Unadhani ni rahisi rahisi tu kuwa middle Income umelogwa ww, unasema mradi wa BRT ni wa WB alioufanikisha Kikwete ndio ni kweli lkn ktk pesa hizo hizo za WB tumeshuhudia kituo kikubwa kikijengwa mtoni yn hovyo hovyo, barabara nyingi zilikuwa zinajengwa chini ya kiwango watu walikuwa wakishangilia inapotangazwa zabuni cz walikuwa wanapiga kweli kweli ktk kila mradi na ndiyo maana barabara nyingi zilijengwa chini ya kiwango, Magu alikuwa anaenda site na nyundo anagonga inabomoka anasema warudie order inatoka juu kwamba aache, lkn kipindi hiki unawezaje kufanya hujuma kwenye miundombinu? Hiyo BRT ss awamu zote zitakamilika pasipo ubadhirifu wowote, miradi imekuwa ikifanyika kizalendo cz kuna kitu Magu kawaambukiza WaTz ambacho ni uzalendo, leo hii Tz imekuwa ni the second county ktk exportation ya zao la Avocado unadhani hyo nafasi imekuja tu km msaada? Mbn hatukushika namba hiyo wkt wa Jk? Leo hii tunatamba kwenye madini ambayo zamani mabeberu walikuwa wanasafirisha tu madini km yao huoni hilo? Wanyama km twiga kupandishwa ndege hilo unaona lilikuwa sawa c ndiyo? Yn ww kinachokusumbuwa ni chuki binafsi, nahisi ww co mTz au km mTz basi ww ulitumbuliwa either ulikuwa mwalimu hewa ww, af uyu mpuuzi amenifanya nianze kuponda uongozi uliopita wkt co Lego lng mbwa huyu
Umenitonesha kidonda cha madini,yaani jinsi yalivyokuwa yanasombwa usiku na ma "SCANIA" yalisababisha nikamchukia Kikwete sana!japo nilimpa kura 2005,mwaka 2010 sikupiga kura kwa sababu ya madini.huyu kinyago anapiga kelele humu haoni mapato ya madini yamepanda kutoka 150bill.kwa mwaka hadi 470 bill.kwa mwaka, that's a huge stride, makusanyo yameongezeka kutoka 800bill.hadi almost 2 trillion. Alafu huyu anapiga domo hapa.
 
kipi cha ziada alichofanya zaidi ya promo
Kwaiyo maswal y sector y reli wew hujaskia vipi kusu sector y anga na pale bandari kumbe ndio mana ulikuja na data za chooni hapa oooh Jk kajenga km 8500 ulikuw so desparate ukizan hatujui kias alicho jenga jk...kaondoka na Km 6103 tu, sasa magu kujenga 3500 wew unaona kidogo embu wacha wazim wako
Screenshot_20200623-102300.jpg
 
hivyo ni baadhi tu list ni ndefu sana,jukwaa la siasa kuna thread utaikuta kaitafute..kwani huyu wenu miradi imekamilika si bado ni wimbo hu huo huo toka 2015
Baadhi ya miradi imekamilika,kulingana na muda ulipoanza na ukubwa wa mradi,mingine ipo U/C, pole ndugu,najua Magu anawaumiza majizi kama nyinyi, vumilia tu,ila kumbuka Magu ni TANO TENA! Upende usipende.
 
Umenitonesha kidonda cha madini,yaani jinsi yalivyokuwa yanasombwa usiku na ma "SCANIA" yalisababisha nikamchukia Kikwete sana!japo nilimpa kura 2005,mwaka 2010 sikupiga kura kwa sababu ya madini.huyu kinyago anapiga kelele humu haoni mapato ya madini yamepanda kutoka 150bill.kwa mwaka hadi 470 bill.kwa mwaka, that's a huge stride, makusanyo yameongezeka kutoka 800bill.hadi almost 2 trillion. Alafu huyu anapiga domo hapa.
Sema vizuri hiyo Tshs 2 trln ni makusanyo kwa mwezi!
 
ajira za kila mwaka kwenye sekta binafsi na umma plus ongezeko la mishahara kila mwaka lilifanyika na awamu ya 4,awamu hii vipee
Narudia tena taja barabara hata 1 mpya mliyojenga kuunganisha na nchi jirani au mkoa
Una matatizo Sana wew.

Vip barabara ya tengeru Arusha kupitia holili Hadi Voi kenya si ilianza kujengwa 2016?

Vip barabara ya nyakanazi kagera kuelekea rusumo si imefumuliwa upya na kujengwa upya .
 
chuki za nini,namba tu hazidanganyi..mlichofaulu nyie awamu hi ni matumizi ya propaganda za enzi za ujamaa na kutumia vyombo vya dola kuwafunga wengine midomo..kama mumefanya maendeleo matumizi ya polisi ni ya kazi gani,mnajua kwamba hali ya mwananchi ni ngumu ndio maana mnafanya hivyo
We ni MTZ Anko??
 
jibu hoja awamu ya tano imejenga barabara zipi za kuunganisha mkoa na mkoa maana hakuna mkoa mpya uliofunguka
Awamu ya nne ilijenga reli gani?
Awamu ya nne shirika la ndege lilifia mikononi mwake.
Awamu ya nne meli zilifia mikononi mwake.
Kuna madeni ya walimu na wakandarasi Toka 2015 amekuja kulipa JPM.
Rushwa ilikithiri awamu ya nne.
Umeme ulikuwa unakatika hovyo, vijiji vya umeme vilikuwa elfu mbili na kitu pamoja na kuwepo ufadhili wa MCC.
Makusanyo ya kodi 850b, sasa hivi JPM a nakusanya karibu mara mbili ya JK.
Kuna halmashauri za wilaya na mikoa zilianzishwa bila miundombinu, sasa JPM ndio anaejenga ofisi, hospitali, vituo vya afya, stendi nk.
Miradi ya maji nk

Uking'ang'ania barabara tu, kumbuka kuna miradi mingine ambayo Jk wala hakuigusa JPM a nafanya.
Jiulize bwawa la umeme, sgr, na upanuzi bandari dar, hii miradi 3 JPM angeamua kujenga barabara tu zingekuwa km ngapi, ukumbuke miradi hii 3 ni zaidi ya trillioni 10.

Simlaumu Jk ila alikuwa na udhaifu fulani katika usimamiaji.
 
Kwa miradi anayofanya Jpm km angeamua kuwekeza kwenye barabara nadhani saivi tungekuwa kwenye km30,000.
 
Back
Top Bottom