Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,253
Na hii ndio maana Tanzania Ina dollars millionaires wengi ukanda huu, state entity stamico kufanya watu dollar millionaires kila week
Wakenya Em leteni shughuli yoyote mliyonayo ya kulinganisha na hii inayoweza kumuingizia Mkenya wa kawaida kabisa pesa nyingi hivi kila week
Wakenya Em leteni shughuli yoyote mliyonayo ya kulinganisha na hii inayoweza kumuingizia Mkenya wa kawaida kabisa pesa nyingi hivi kila week