Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe unajua nini zaidi ya kuandika broken English?
Ni muhimu kujua lugha ya foreigner hata kama co kwa ufasaha but co njema kuwa mtumwa kiasi hicho, kwa uwezo nliokuwa nao wa kuzungumza kingereza unanitosha and I can communicate with Englishman na akanielewa bila shida yoyote na cjaishia hapa nikipata nafasi ntajifunza lugha zingine pia hata kijaluo kikinikalia sawa najifunza tu[emoji3][emoji3]
 
15,000KM of roads are under construction in Kenya. They are beautiful
View attachment 1487683
LOL your total paved roads are not anywhere near that number
Screenshot_20200624-143329~2.png
 
Aisee inawezekana, lkn mbn anatukana WaTz humu waliompa ajira.
Ndio shukrani ya punda hii[emoji16][emoji16]

Si unaonaga tunawapea chakula kwa bei rafiki,wanatuponda tena kwamba chakula yetu ni low quality ndio maana haina bei,yet tukifungia ndani wanalia chakula hamna[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom