Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,745
Lini mnazindua Lamu Port?Kwa ujinga wewe nmekupea kitengo maalum. SGRr ya 170km bado hamjamaliza miaka 10. Hiyo unasema imekwama Kenya labda kichwani mwako. SGR Kenya imefika Suswa and its fully functioning 560km.. yani inafanya kazi.
Bagamoyo mlinyanganywa to our benefit na Struggling George siku mtamaliza uje untag apa...