Ule msikiti mpya wa Kinondoni ndio utakuwa mkubwa zaidi Tanzania.
Na zile kelele zote huna data za kuwatch 1080 quality video? 144 ni aibu kwako mzee.Amkeni amkeni!kama Mkuu Wanjala alivyosema Msipoteze Bundle lenu , hamna kitu cha kutisha humo, Wanafanya tuliyofanya Sokoine Drive, Uhuru Road siku nyingi . Ukiacha barabara zote Za BRT over 20km ambazo Both sides ni Cyclists and Pedestrian Friendly.
Kabla hukafika CBD yao ni Chaos kama kawa kwenye majiji yote ya Dunia ya Tatu. Vumbi na mchanga zinashindana na lami barabarani
Mfano hapa mmeweka Zebra je Kuzitumia hizi Zebra mtembea kwa miguu anatokea wapi? Na akimaliza , Mmemfikiria? Anapambana na Negelected side walks.
View attachment 1486169
View attachment 1486170
Huku nje nje kama kawa maeneo mengine ya Dunia ya Tatu.
View attachment 1486171
View attachment 1486172
View attachment 1486173
Huku CBD labda mkishamaliza tujr tulinganishe Vizuri.Ntakuwepo hapa tufananishe kila kona
View attachment 1486174
View attachment 1486175
View attachment 1486176
Ulivyosema hatuwezi shindana tena nilitegemea Matured CBD street View kama hizi:
View attachment 1486178
View attachment 1486179
View attachment 1486180
View attachment 1486181
View attachment 1486182
View attachment 1486183
BTW hiyo ni Sandton mnayofanisha na UpperHill, Ni mbingunna Ardhi.![]()
Mkuu tuliwahi kusema humu Dar kuna sehemu nyng bado hazijamulikwa wakabisha, infact kuna location nyng humu NDINDA anazpost wengi wetu wala hatujawahi zionaNairobi imepigwa pictures imeisha yote
Dar ndio kwaaanza hata nusu hatujafika, ndio maana hivi vitasa unavyowagonga navyo saivi hawaamini macho yao kama hii ni Dar.

Inawezekana na hata kama watakua bado basi itakua issue ndogo sana yani hadi Dec hakutakua na caseserikali imewapa mwisho October 31 wawe wamemaliza kila kitu phase 1
Na zile kelele zote huna data za kuwatch 1080 quality video? 144 ni aibu kwako mzee.
, Ukiachana na video quality (1080 unayotaka) unakubaliana na mawazo yangu?Zamani wakati nipo kijana mdogo nilikuwa najiuliza hayo manafasi makubwa kati kati ya barabara ya nn wameyaacha hivyo, kumbe I was too younger to argueHapo kuna reserve ya pembeni na katikati ya barabara,ya katikati kwa ajili ya brt,ya pembeni mambo ya 8 lanes nyerere aliuandaa huo mji kwa vizazi visije kupata ugumu ku upgrade pindi muda utakapofika angalia morogoro road ilipofikia inahitajika brt watu wala awakuumiza kichwa,kama kilwa road now

Kuwa?Imagine, Screen shot, Then Crop and Edit adding some marks and you still expect Ten Eighty????, Ukiachana na video quality (1080 unayotaka) unakubaliana na mawazo yangu?
NDINDA bhnAmkeni amkeni!kama Mkuu Wanjala alivyosema Msipoteze Bundle lenu , hamna kitu cha kutisha humo, Wanafanya tuliyofanya Sokoine Drive, Uhuru Road siku nyingi . Ukiacha barabara zote Za BRT over 20km ambazo Both sides ni Cyclists and Pedestrian Friendly.
Kabla hukafika CBD yao ni Chaos kama kawa kwenye majiji yote ya Dunia ya Tatu. Vumbi na mchanga zinashindana na lami barabarani
Mfano hapa mmeweka Zebra je Kuzitumia hizi Zebra mtembea kwa miguu anatokea wapi? Na akimaliza , Mmemfikiria? Anapambana na Negelected side walks.
View attachment 1486169
View attachment 1486170
Huku nje nje kama kawa maeneo mengine ya Dunia ya Tatu.
View attachment 1486171
View attachment 1486172
View attachment 1486173
Huku CBD labda mkishamaliza tujr tulinganishe Vizuri.Ntakuwepo hapa tufananishe kila kona
View attachment 1486174
View attachment 1486175
View attachment 1486176
Ulivyosema hatuwezi shindana tena nilitegemea Matured CBD street View kama hizi:
View attachment 1486178
View attachment 1486179
View attachment 1486180
View attachment 1486181
View attachment 1486182
View attachment 1486183
BTW hiyo ni Sandton mnayofanisha na UpperHill, Ni mbingunna Ardhi.![]()

Mhh ila kenya chafuu co mchezoJKIA to Westlands Expressway mwendo ni pole pole. I pity wale wachawi wenye hawaamini kuwa ujenzi hujaanza hadi waone signboard.
View attachment 1486186View attachment 1486187View attachment 1486188View attachment 1486189
tecno imejitahidi kukufichia aibuJKIA to Westlands Expressway mwendo ni pole pole. I pity wale wachawi wenye hawaamini kuwa ujenzi hujaanza hadi waone signboard.
View attachment 1486186View attachment 1486187View attachment 1486188View attachment 1486189
Hahahahaha
JKIA to Westlands Expressway mwendo ni pole pole. I pity wale wachawi wenye hawaamini kuwa ujenzi hujaanza hadi waone signboard.
View attachment 1486186View attachment 1486187View attachment 1486188View attachment 1486189

.Uchafu mtupu,filter imekataa hapo 😃JKIA to Westlands Expressway mwendo ni pole pole. I pity wale wachawi wenye hawaamini kuwa ujenzi hujaanza hadi waone signboard.
View attachment 1486186View attachment 1486187View attachment 1486188View attachment 1486189
Wehu hao Sandton wanaifahamu vizuri lakini?Ati Nairobi's Kilimani is compared to Sandton?
Hiyo sio pichangu.Huyu ndio alikua ananiambia mi mambo ya 1080???? Yeye hata kufocus kashindwa
Kuna unaongea vitu ambavyo we mwenyewe huwezi vimudu.