Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Huu ukweli unauma sana![emoji23][emoji23][emoji23]Mtakojoa nyie. Barabara yaja tena kwa sana. Nyie ruka tu na hiyo picha ila uhalisi unabaki, Express way is on the way.
Huu ukweli unauma sana![emoji23][emoji23][emoji23]Mtakojoa nyie. Barabara yaja tena kwa sana. Nyie ruka tu na hiyo picha ila uhalisi unabaki, Express way is on the way.
Is UNEP n UN Habitat American?Trade, defence (lamu base) & intellectual with many Kenyans working in top positions in the US.
Its also home to the first black American president
Home to UNEP and UN Habitat headquarters in the world, Africa headquarters to American Multinational s google, ibm..
Etc.. etc
Kenya is actually a very serious and important US ally and we benefit a lot from that.
A mutual relationship al call it.
Is UNEP n UN Habitat American?
No its TanzanianIs UNEP n UN Habitat American?
[emoji23][emoji23] kipande cha Isaka Mwanza ama wapi? hizi % tangia 2017 zinachanganya.Expressway ndio mnakata miti kumbuka SGR ni 80%Complete
No expressway is under construction, chung chin kawaingiza chakaExpressway ikiisha labda SGRr kipande cha Dar-Moro kitakua at least 71% [emoji23][emoji23]
Umeona ss ulivyo outdated hapo tayari daraja lishawekwa hyo ni sehemu korofi Ruvu [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] kipande cha Isaka Mwanza ama wapi? hizi % tangia 2017 zinachanganya.
Yani SGRr imekwama for 4 years barely 76km from Dar. That's equivalent to SGR ya Kenya kukwama Kwale county.
Kenyans would be OUTRAGED.
View attachment 1488069
Angalia hii video ila ukimaliza kuangalia usilie please [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] kipande cha Isaka Mwanza ama wapi? hizi % tangia 2017 zinachanganya.
Yani SGRr imekwama for 4 years barely 76km from Dar. That's equivalent to SGR ya Kenya kukwama Kwale county.
Kenyans would be OUTRAGED.
View attachment 1488069
Kwahyo ndio hii uliyotuwekea au kuna nyingine, tuanzie hapo kwanza [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Mtakojoa nyie. Barabara yaja tena kwa sana. Nyie ruka tu na hiyo picha ila uhalisi unabaki, Express way is on the way.
Hahahaha nchi nzima wana kilometers za lami 4300 tu, hizo nyingine zote ni mashimo na vumbi.
Umeona ss ulivyo outdated hapo tayari daraja lishawekwa hyo ni sehemu korofi Ruvu [emoji3][emoji3]
Nshamuwekea video ya may ahangaike nayo ikimshinda alie [emoji3][emoji3][emoji3]kascreenshot video ya TRC ambao nao wamechukua ya Yapi Merkezi ya mwezi April [emoji23][emoji23] .. hio sehem ya mwezi May wmeshaiwekea kokoto tayar
Huwa wanasema wapo kwenye 20,000km [emoji3][emoji3]Hahahaha nchi nzima wana kilometers za lami 4300 tu, hizo nyingine zote ni mashimo na vumbi.
Aisee ujenzi wa kikauzu namna hii ndo unaringia nao? Nipe sababu ya kutumia steel structure hapo katikati!
342.9km added. Tanzania oyee
Hilo daraja utasikia limejengwa na mchina kwa $26mil, lingine hili hapa naskia lilijengwa na mchina kwa $12mil na kabla ya kutumika likavunjika wana lana sn hawa wajuba[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
escalator za nn wakati terminal haina airbridges au ndo kama Nairobi SGR Terminal? Unapanda na kushuka kabla ya kupanda tena kuingia kwenye meli! Hivii lini Kunyaland itajifunza design za kisasa? Inakaa mwenye wheelchair hawezi kulitumia hii terminal inabidi aende moja kwa moja kwenye meli bila kuingia kwenye jengo! Aisee only in Kunyaland!Cruise ship terminal at Mombasa port.
View attachment 1487657View attachment 1487658View attachment 1487659