komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Malindi ni little italy jomba, hilo halina ubishiUkanda huu hakuna sehemu maarufu kama zanzibar.
Maboy wa kizenj wanaongea kiitaliano,kireno na kihispania si kawaida.
Malindi ni little italy jomba, hilo halina ubishiUkanda huu hakuna sehemu maarufu kama zanzibar.
Maboy wa kizenj wanaongea kiitaliano,kireno na kihispania si kawaida.
Who said that?Ati Nairobi's Kilimani is compared to Sandton?
Unapinga hyo tweet kisa huitaki, ngoja basi joto la jiwe ataleta na wewe uungeSome facts written by that twitter account are absolute bullshit. Why would anyone be proud of Kenyans along the coast speaking Italian?? And the audacity of you posting that shows how brainwashed you are....kulamba makalio ya wazungu!![]()
Naona hiyo expressway imekuuma vibaya sana.Uchafu mtupu,filter imekataa hapo 😃
Huwezi pata. Hata kama hizi humuwezi pata
View attachment 1485077
True.Zamani wakati nipo kijana mdogo nilikuwa najiuliza hayo manafasi makubwa kati kati ya barabara ya nn wameyaacha hivyo, kumbe I was too younger to argue![]()






Nyinyi mkiona gorofa manadhani huko ni cbd?.sababu area iliyo jengeka huko kwenu ni cbd pekee huko kwingine ni uswazi na vijiji.maybe aliepost hiyo video hakuwambia huko ni eastlands kwa watu wakaida na wala sio cbd....halafu vitu vidogo kama sidewalks vipo kila town hapa Kenya na wala sio majabu kwetu kama ilivyo huko bongolalalandAmkeni amkeni!kama Mkuu Wanjala alivyosema Msipoteze Bundle lenu , hamna kitu cha kutisha humo, Wanafanya tuliyofanya Sokoine Drive, Uhuru Road siku nyingi . Ukiacha barabara zote Za BRT over 20km ambazo Both sides ni Cyclists and Pedestrian Friendly.
Kabla hukafika CBD yao ni Chaos kama kawa kwenye majiji yote ya Dunia ya Tatu. Vumbi na mchanga zinashindana na lami barabarani
Mfano hapa mmeweka Zebra je Kuzitumia hizi Zebra mtembea kwa miguu anatokea wapi? Na akimaliza , Mmemfikiria? Anapambana na Negelected side walks.
View attachment 1486169
View attachment 1486170
Huku nje nje kama kawa maeneo mengine ya Dunia ya Tatu.
View attachment 1486171
View attachment 1486172
View attachment 1486173
Huku CBD labda mkishamaliza tujr tulinganishe Vizuri.Ntakuwepo hapa tufananishe kila kona
View attachment 1486174
View attachment 1486175
View attachment 1486176
Ulivyosema hatuwezi shindana tena nilitegemea Matured CBD street View kama hizi:
View attachment 1486178
View attachment 1486179
View attachment 1486180
View attachment 1486181
View attachment 1486182
View attachment 1486183
BTW hiyo ni Sandton mnayofanisha na UpperHill, Ni mbingunna Ardhi.![]()
ww unawazimu wa kichwa gorofa nne unasema ndogo 😂😂👇👇Tuseme hii reli itaisha 2022. Naamini huenda ikawa nzuri hasa kama kweli watanunua treni kama walivyo pendekeza TRC.
Lakini Jiji hilo la Dar??😂
Pia hiyo main station huenda iwe ndogo sana.
Hapo bado TRC headquarters hazijajengwa! Naskia kuna modification inafanywa iwe 20 floors!imagine upo kweny ndege angani then unakutana na view kama hii.. na pemben kidogo kuna bahari![]()
View attachment 1486147View attachment 1486148View attachment 1486149View attachment 1486150View attachment 1486151View attachment 1486152
the station looks something like a very massive object fallen from international space above
size yako 👇👇👇😂😂😂Nyinyi mkiona gorofa manadhani huko ni cbd?.sababu area iliyo jengeka huko kwenu ni cbd pekee huko kwingine ni uswazi na vijiji.maybe aliepost hiyo video hakuwambia huko ni eastlands kwa watu wakaida na wala sio cbd....halafu vitu vidogo kama sidewalks vipo kila town hapa Kenya na wala sio majabu kwetu kama ilivyo huko bongolalalandView attachment 1486274View attachment 1486276View attachment 1486277View attachment 1486278View attachment 1486279
Sasa hii ndio nini kilaza?
Naona hiyo expressway imekuuma vibaya sana.
wapi construction board hvo ndio munajenga au😂😂😂😂😂JKIA to Westlands Expressway mwendo ni pole pole. I pity wale wachawi wenye hawaamini kuwa ujenzi hujaanza hadi waone signboard.
View attachment 1486186View attachment 1486187View attachment 1486188View attachment 1486189
unauliza dinvi matakoni au 😂😂😂Sasa hii ndio nini kilaza?
waambie wakuoneshe construction bord wakipata mm nafunga acc jamii forum😂😂tecno imejitahidi kukufichia aibu
Kumbe ndio maana!Malindi ni little italy jomba, hilo halina ubishi
end of story 👇👇😂😂
Waitoe wapi,hawa jamaa porojo zao tushazizoeawaambie wakuoneshe construction bord wakipata mm nafunga acc jamii forum😂😂