ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
jubilee imewatia ufala😂😂😂Rubbish expressway
jubilee imewatia ufala😂😂😂Rubbish expressway
Mnajenga vitu hovyo bila kujua maana yakeunauliza dinvi matakoni au![]()
uhahahah imekuuma sana mamaee👇👇😂Mnajenga vitu hovyo bila kujua maana yake
Kama unatembea kila siku kutoka kenyatta Drive mpaka mjini basi uko vizuri kiafya, pana ka mwendo hapo.Dar es salaam Stock Exchange.
Sandton ni ugonjwa au ni nnAti Nairobi's Kilimani is compared to Sandton?
Hapo bado TRC headquarters hazijajengwa! Naskia kuna modification inafanywa iwe 20 floors!
Dah, jamaa wameng'oa miti yote hapo.
Hawakosi maneno hawa. Engineer alisema kuwa hiyo station inaweza handle watu 1000 kwa wakati mmoja.ww unawazimu wa kichwa gorofa nne unasema ndogo 😂😂👇👇View attachment 1486286View attachment 1486287
Kwani construction board ndio itajenga barabara? Wewe alikunyima akili so tofauti kati yako na jellyfish is only that you can talk.wapi construction board hvo ndio munajenga au😂😂😂😂😂
Hivi wakijenga hiyo Tanzanite building II watavunja jengo la mkoloni?Ati Nairobi's Kilimani is compared to Sandton?
Hapo bado TRC headquarters hazijajengwa! Naskia kuna modification inafanywa iwe 20 floors!


watakukomaKama exterior Ndio kali hivi, Interiors zitakuwa killer 💥💥 hapo BRT yetu kipita na mbele........Eneo hilo tayari litakuwa limepata faceliftimagine upo kweny ndege angani then unakutana na view kama hii.. na pemben kidogo kuna bahari
View attachment 1486147View attachment 1486148View attachment 1486149View attachment 1486150View attachment 1486151View attachment 1486152
the station looks something like a very massive object fallen from international space above
Itawachukua miaka 100 Kujenga elevated expressway in Tanzania.Rubbish expressway
Mungu wangu💥💥⚡️
siku utapata construction board teargass mm nafunga acc jamii forum mark my words unless go on posting renders😂😂😂😂Kwani construction board ndio itajenga barabara? Wewe alikunyima akili so tofauti kati yako na jellyfish is only that you can talk.
cha ajabu hamuna hata nyinyi 😂😂😂Itawachukua miaka 100 Kujenga elevated expressway in Tanzania.
hiii jengo inaitwaje 😂😂😂👇👇👇
Usisahau na hii pia.
Dah, jamaa wameng'oa miti yote hapo.