Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Swala la kuongoza kanda hii liko wazi,sio tamaa,tuna kila sababu,ukubwa wa nchi yetu,wingi wa watu wetu,umoja wetu ,eneo sawia la kijeofrafia,rasilimali asilia na mwisho kabisa Ungozi bora na siasa safi.....ilikua ni swala la Muda na kujifunza kwa makini. OUR ECONOMY IS UNSTOPPABLE.
Hizi zote mmekuwa nazo tangu mpate uhuru lakini gap ya uchumi kati yenu nasi bado yazidi kupanuka. Mbona mnajipa matumaini pasipo na matumaini?
 
Bruh! Do you know what the word “sidewalk” means?? 😂😂 That place is some kind of quad where people can sit and relax. I mean it could even be a certain building’s property 😂😂
Very stupid. That is Aga Khan Walk along Moi Avenue.

Eti where people sit. Very ignorant. Good street sidewalks should have such furniture as where people should sit. Where did you learn.
IMG_20200620_154705.jpg

I know you can't find that in your Slum.
 
Elewa hapo nimesema "ilikua ni swala la KUJIFUNZA" .......kumbuka kwamba 92% ya natural resources ya TZ aijaguswa.
Alowazuia kuzigusa ni nani? Blame it on your laziness. And where did you get that figure from?
 
Very stupid. That is Aga Khan Walk along Moi Avenue.

Eti where people sit. Very ignorant. Good street sidewalks should have such furniture as where people should sit. Where did you learn.
View attachment 1485065
I know you can't find that in your Slum.
The only stupid person here is you. I don’t see any road there. That is a QUAD. Hiyo sio sidewalk au ngoja nigoogle Maana ya sidewalk usome uelewe
C985C59E-0365-4098-AD65-D58250E616CE.png
 
Aluwazuia kuzigusa ni nani? Blame it on your laziness. And where did you get that figure from?
Uwezi tumia rasilimali kubwa ukiwa na watu kidogo wewe,sisi tumepata uhuru na watu milion 9 ...Nyerere alikua visionary leader akaona wacha zikae chini zije kusaidia watu wakiwa wengi...sasa hivi tunafaidi mpaka mnaona Wivu....nyie mligawana rasilimali mapema...ona sasa mlivyo km watu wasio na makao duniani
 
Back
Top Bottom