mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,516
Majengo kukosa wapangaji hata nchi za 1class yapo.na yanaendelea kujengwa huko hata hapa tz,point ni nini!!!Uwa naangalia tuko busy kupost majengo ambayo ndani for sure hayatumiki . Kuna majengo mengi hayana wapangaji sio Dar hata huko kesho wakati wakulima wanapalilia kwa mikono . Zinatakiwa mashine rahisi ambazo zitakua affordable kwa kweli kilimo kitakua na faida sana . Kwa wakulima wengi wanashindwa kukua kwa sababu ya mambo ya palizi ni gharama na dhana duni . Wanaweza kukodia au kununua treka za kilimo lakini tatizo Lipo kwenye kupalilia haswa na magonjwa ya mimea
Kila mtu asimame alipo kujikwamua.ni wakulima hao hao wanaouzia mazao ya biashara shambani,yaani wanakosa usimamizi na elimu tu.


