The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Heheheheheeee mda bado haujafika tulia kdg, utatii tu [emoji3][emoji3]Indeed, mko mbali aise[emoji23][emoji23] Nime tii.
Heheheheheeee mda bado haujafika tulia kdg, utatii tu [emoji3][emoji3]Indeed, mko mbali aise[emoji23][emoji23] Nime tii.
Hawaamini macho yao.mradi unaelekea ukingoni [emoji1488][emoji1488].. huyu ni mtu mwingine
View attachment 1485512
Heheheheheeee mda bado haujafika tulia kdg, utatii tu [emoji3][emoji3]
Level ya uongozi Tz ....Africa haipo.....nyie endeleeni na hizo Handshake na BBI....
View attachment 1485534hawa jamaa ni mburura... kwa waliosoma udsm, pale coet cafeteria papo hiv... hiv ile sehem ni sidewalks kweli??
Morogoro-Makutupora kazi inaendelea
View attachment 1485518View attachment 1485519View attachment 1485521
Hii mentality naipenda sana na ndiyo Magu amefanikiwa kutuwekea vichwani mwetu, unajua cc ujamaa umetuchelewesha mno.
Boss hiyo ni ishu ya Wafanyabiashara wenyewe (banks), bado wamelala sanawanapaswa waende Congo DRC, Zambia, Rwanda na Uganda pia! wafanyabiashara wote wanaotumia bandari ya Dar wanatumia benk za Kenya ambazo zina branches Tanzania! sijui kwann Magufuli hawafurumushi?
Sasa kama CRDB Bank ina branch Lubumbashi unadhani mfanyabiashara wa Congo DRC anayetumia bandari ya Dar ataacha kuitumia?Boss hiyo ni ishu ya Wafanyabiashara wenyewe (banks), bado wamelala sana
Sent using Jamii Forums mobile app
That's a problem especially the CRDB themselves mkuu, lots of opportunities, Nilitegemea wawe, Lusaka, Blantyre, Kigali na hata Kampala, na Nairobi,Sasa kama CRDB Bank ina branch Lubumbashi unadhani mfanyabiashara wa Congo DRC anayetumia bandari ya Dar ataacha kuitumia?
Ongezea kwamba ni tajiro Afrika Mashariki na Kati.maisha haya duh, utadhan sio tajiri kuliko wote Tanzania.. so simple yan[emoji1]
Ni tajiri kuliko wote Afrika Mashariki na Kati.maisha haya duh, utadhan sio tajiri kuliko wote Tanzania.. so simple yan[emoji1]
Hadi alitaka kumfundisha Magu namna ya kudeal na CORONA.Tangu handshake RAO amekuwa mpumbavu kuliko maelezo nangoja 2022 mzee mzima alizwe kama Moi alivyomliza this time atakufa kwa pressure!
Angekua Mkenya huyu, angekua anamiliki helicopter 5, private jets 3, magari ya kifahari 30, walinzi 100.Ni tajiri kuliko wote Afrika Mashariki na Kati.