Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

EbB4mBkX0AI7ZBu

EbB4mBfXsAEkiaS
 
You can't say anything coz probably you don't even know the history of languages you are bashing in here. You should know better
😂😂😂 I’m gonna leave you alone because you obviously don’t have anything important to say.
 
Baazazi angalia vizuri baba! Yaani anapendeza kwelii!
Hawa kina Ndalichako wapo smart sn kichwani, kuna kaka ake pia ni lecturer anaitwa Dr. Venance Ndalichako, ila yy pia ni padri anafatilia cjawahi ona, inafika kipindi karibu 80% ya wanafunzi anakujueni kwa majina ni hatari sana, anafatilia vitu vikubwa mpk vdg vdg
 
Kuna mwenzako mmoja mpumbavu,baada ya kusikia tz ina $millionaires wengu kuliko KE,akasema top 10 wote ni wahindi.

Nikajiuliza hoja yake ni rangi zao au lugha wanazozungimza jibu sikupata pia.

MO kama walivyo wengine ni mtz mwenye asili ya india,aliyezaliwa singida na kukulia hapo.baba yake pia alizaliwa hapo singida.nashangaa jambo linakuwa jema linapofanywa na kenya,ila nchi nyingine hata inhefanya lwa ustadi namna gano ingeonekana haifanyi sawa.
 
Huwa wanasumbuliwa na wivu na ufinyu wa akili.
 
Back
Top Bottom