Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani hili jengo ndio la maabara ya chuo kikuu eti cha sayansi na teknolojia? Hili jengo na wodi za hospital zina tofauti gani? Vyuo vingine vinakera kwa kweli jengo ugly kiasi hicho ,kwamba hawajaona majengo ya vyo vya wenzao kama udsm au udom nk nk? hawa ni poor kabisa kwenye ubunifu wa majengo yenye mvuto afu wanatoa na kozi ya architecture

Wewe choko nn? Nenda kapakatwe hebu leta maabara ya Polytechnic university hapo Kunyaland!
 
Hii ni idea nzuri ila tuanze mdogo mdogo maana miradi mikubwa still inataka hela ndefu..
Wazo zuri kwa siku za mbeleni
Western zone je? mikoa Kagera, Kigoma, Tabora, Rukwa, Katavi, Ruvuma, Morogoro na Iringa mbona umeziacha unajua hiyo mikoa ni zaidi ya nusu ya nchi
 
ya Bakhresa halafu wanajeshi ndo wanaelezea? wacha utani mradi wa kampuni za serikali!

hakuna mjeshi anaeongea hapo, huyo ni msaidiz wa Rais.. hiko ni kiwanda cha Avocado kipo mbeya
IMG_1592326482.267972.jpg
 
hakuna mjeshi anaeongea hapo, huyo ni msaidiz wa Rais.. hiko ni kiwanda cha Avocado kipo mbeya
View attachment 1480713
Nimeku-challenge utoe nondo usiache vitu vinaeleaelea nilijua zile packaging boxes ni architectural model design za ghorofa ati? Nikajiuliza mradi gani huu? Nimeiangalia picha mara kumi sikupata jibu! 🤷‍♂️ 😀
 
Back
Top Bottom