Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi
FB_IMG_15892819434884169.jpg
FB_IMG_15892819572261999.jpg
FB_IMG_15892819500675667.jpg
FB_IMG_15892819710295851.jpg
 
Kuna zile account za twitter na instagram zilikuwa busy kueneza uwongo kuhusu Tz kwenye janga la corona hadi media za kunyaland zikafanya source za habari zao mbona siku hizi zipo kimya!

What happened.

hawa jamaa mpk wakanifanya nizibookmark tweet zao za namna hii.. sijui nilikuwa nina lengo gani ila nilizibookmark.. ngoja niziremove maana hazina maana tena
 
Kwenye suala la umeme naona kabisa tunaenda mwendo mzuri...izo 5000MW yanawezekana zikapatikana before 2025

Kila nikiwaza RSA Wana 50000MW na haziwatoshi naona kabisa kazi bado
 
Back
Top Bottom