Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why? What makes this different? Is it made of gold?? All I see is bad taste because you probably did the paving.
Cycle path+sidewalks separately by a green strip. When trees grow on both sides it will become a boulevard like this in Nakuru Kenya
IMG_20200619_180929.jpg
IMG_20200619_180913.jpg
 
Cycle path+sidewalks separately by a green strip. When trees grow on both sides it will become a boulevard like this in Nakuru Kenya
View attachment 1485087View attachment 1485088
Na nyie mna cyclists wengi kama Amsterdam?? 😂😂😂🤦🏽‍♂️ In Kenya, everyone is a copycat. Instead of focusing on building a good transit system for the public, you care about cyclists Ambao hata kwenye hiyo pavement hawaonekani. It’s not a bad idea, but you need to place your priorities elsewhere at the moment.
 
Uwezi tumia rasilimali kubwa ukiwa na watu kidogo wewe,sisi tumepata uhuru na watu milion 9 ...Nyerere alikua visionary leader akaona wacha zikae chini zije kusaidia watu wakiwa wengi...sasa hivi tunafaidi mpaka mnaona Wivu....nyie mligawana rasilimali mapema...ona sasa mlivyo km watu wasio na makao duniani
The good thing is that you are debating with a lot of emotions. Kwani Kenya ilipata uhuru na watu milioni mia moja? Mnafaidi nini wakati idadi wengi ya watanzania bado wanaishi maisha ya umasikini? Alafu ni wivu gani tunawaonea? Tanzania no nchi masikini sana ya kuonewa wivu
 
Why? What makes this different from the rest? Is it made of gold?? All I see is bad taste because you probably did the paving.
You are so full of hate 😂 😂. This negativity will kill you
 
The good thing is that you are debating with a lot of emotions. Kwani Kenya ilipata uhuru na watu milioni mia moja? Mnafaidi nini wakati idadi wengi ya watanzania bado wanaishi maisha ya umasikini? Alafu ni wivu gani tunawaonea? Tanzania no nchi masikini sana ya kuonewa wivu
Sasa nyie kenya,Viongozi wakubwa si waligawana rasilimali za nchi,hata sasa wananchi mna shida kubwa...wivu mnao sana kwani huoni mna penetrate sabotage ili Wazungu wasije.
 
Uwa naangalia tuko busy kupost majengo ambayo ndani for sure hayatumiki . Kuna majengo mengi hayana wapangaji sio Dar hata huko kesho wakati wakulima wanapalilia kwa mikono . Zinatakiwa mashine rahisi ambazo zitakua affordable kwa kweli kilimo kitakua na faida sana . Kwa wakulima wengi wanashindwa kukua kwa sababu ya mambo ya palizi ni gharama na dhana duni . Wanaweza kukodia au kununua treka za kilimo lakini tatizo Lipo kwenye kupalilia haswa na magonjwa ya mimea
 
Sasa nyie kenya,Viongozi wakubwa si waligawana rasilimali za nchi,hata sasa wananchi mna shida kubwa...wivu mnao sana kwani huoni mna penetrate sabotage ili Wazungu wasije.
The only resource Kenya has are her people. Nyinyi MBA madini na wingi WA watu ila bado masikini wa kutupwa
 
Back
Top Bottom