Kadanganye wajinga eenzio wa lumumbaDeni la tanzania limeshuka lilikuwa trilioni 60 na sasa ni 55.
Picha zenu bila filter azibambi
Wamisri ndo walivyo tangia muda mrefu wanajiona wao ndo wana haki ya kutumia mto nileBwawa la kufua umeme la Ethiopia na Mto Nile inaweza kuleta vita kati ya hizi nchi mbili za Ethiopia na Egypt. Egypt ni kama wamejimilikisha Mto Nile
View attachment 1478820
Tweet ya billionaire wa Misri
View attachment 1478821
other tweets
hii kitu mbaya sana, imagine umejenga bwawa lako kwa matrilioni ya hela afu majamaa hawataki ujaze hilo bwawa
Itakua babkubwa sana najaribu kuvuta picha itakuaje...mji unazidi kupendeza tuBrt phase 3 ya nyerere road naipenda sana na nilikuwa naisubiri kwa hamu sana,ila ile miti inaniuma ikikatwa dah waangalie namna ya kujenga bila ya kufyeka ile miti mazee au mnaonaje
Hii njia ikipigwa brt itapendeza sana.Hapa ndio walipohamishia Kituo kwa kukiondoa pale mlangoni mwa CRDB HQ.
View attachment 1479155
View attachment 1479156
Kunguni wanawawa kwa roho mbaya,wakija kushtuka wako wanawaka na mabranket yao[emoji16][emoji16][emoji16].Hapa ndio walipohamishia Kituo kwa kukiondoa pale mlangoni mwa CRDB HQ.
View attachment 1479155
View attachment 1479156
Kuelekea station na Central Police
View attachment 1479247
View attachment 1479248
View attachment 1479249
View attachment 1479250
View attachment 1479251