Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

CV ya komora [emoji38][emoji38]
IMG_1592222846.379759.jpg
 
Tz ndiyo nchi pekee miongoni mwa nchi chache Africa yenye uwezo wa kupindua matokeo ya kiuchumi mda wowote hivyo wakina onyango wakikenya kaeni mkao wa kula kwa sasa mpo nyuma yetu sana, Tz tuna kazi ya kutengeneza miji miwili Mji wa kibiashara ambao ni Dar es salaam na mji mkuu wa nchi wa kiserikali ambao ni dodoma nyie mpo kukomaa na hako kanairobi..... Tushawachapa soon kipindi kinasogea dawa yenu inaendelea kuiva.... na hatutodiscuss tena na nyie kupitia huu uzi....... tutawaachia vitukuu wetu wabaki kupitia historia kwa kuisoma hii thread....

TANZANIA ndiye mfalme.....
 
Back
Top Bottom