iamwangdamin
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,309
- 2,507
Flights zikianza njoo utembee Home Boss, 等各个航空复航了。回来一趟玩。[emoji3]
Tuko pamoja mkuu though huku nako washaanza kutuletea mambo ya covid second phase [emoji1787]
Flights zikianza njoo utembee Home Boss, 等各个航空复航了。回来一趟玩。[emoji3]
Nairobi this nairobi that hawajashtuka tu hawana mpya?this is Dar 2020
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I like your wishful thinking[emoji23][emoji23] balaa! Outside Dar do you have a city unaeza linganisha na Mombasa in all fronts; economic output and infrastructure [emoji23] wewe unaona lipstick ya Dar unafikiria ndio basi sasa, Kenya na Nairobi mumeipiku[emoji23][emoji23][emoji23],Tz ndiyo nchi pekee miongoni mwa nchi chache Africa yenye uwezo wa kupindua matokeo ya kiuchumi mda wowote hivyo wakina onyango wakikenya kaeni mkao wa kula kwa sasa mpo nyuma yetu sana, Tz tuna kazi ya kutengeneza miji miwili Mji wa kibiashara ambao ni Dar es salaam na mji mkuu wa nchi wa kiserikali ambao ni dodoma nyie mpo kukomaa na hako kanairobi..... Tushawachapa soon kipindi kinasogea dawa yenu inaendelea kuiva.... na hatutodiscuss tena na nyie kupitia huu uzi....... tutawaachia vitukuu wetu wabaki kupitia historia kwa kuisoma hii thread....
TANZANIA ndiye mfalme.....
safi mkuu umeuwa,.....Pedestrian friendly streets .
SOKOINE DRIVE
View attachment 1479501
View attachment 1479503
View attachment 1479504
View attachment 1479505
View attachment 1479506
View attachment 1479508
View attachment 1479509
View attachment 1479510
wapi hii?
hiyo ndiyo fact mkuu hakuna cha ajabu hapo kenya zaidi ya hiyo fake GDP..... isiyo endana na maisha yenu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I like your wishful thinking[emoji23][emoji23] balaa! Outside Dar do you have a city unaeza linganisha na Mombasa in all fronts; economic output and infrastructure [emoji23] wewe unaona lipstick ya Dar unafikiria ndio basi sasa, Kenya na Nairobi mumeipiku[emoji23][emoji23][emoji23],
Tanzania is coming up fine but kwa ujumla bado saaana kwa Kenya.,
Some sections of Mombasa[emoji116][emoji116]View attachment 1479630View attachment 1479631View attachment 1479632View attachment 1479633View attachment 1479634View attachment 1479635View attachment 1479637View attachment 1479638View attachment 1479639
Tuko pamoja mkuu though huku nako washaanza kutuletea mambo ya covid second phase [emoji1787]
Jamaa ni wa chini hawajawahi kua topView attachment 1479641
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Usipate shida hiii yapa....kz imeisha[emoji23][emoji23][emoji1787]More of beautiful Mombasa.,View attachment 1479647View attachment 1479648View attachment 1479649View attachment 1479650View attachment 1479651View attachment 1479652View attachment 1479653View attachment 1479654View attachment 1479655View attachment 1479656View attachment 1479657View attachment 1479658View attachment 1479663View attachment 1479664
wapi hii?
Hamna chochote nje ya Dar, wewe unajua maana ya GDP kwanza?., what is your economic output ya kweli basi., how much is your port contributing to your economy? Airports revenue?, banking sector? Telecommunications? etc. Outside Dar no city can compare to Mombasa, both economic output na infrastructure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo ndiyo fact mkuu hakuna cha ajabu hapo kenya zaidi ya hiyo fake GDP..... isiyo endana na maisha yenu....
hautorudi mlikuja na mamillionare mkapotelea mbali,mlitamba na airport sasa mpo kimya mlichobakiwa ni wingi wa ndege tu tena ambazo ni leased,mmekuja na gari moshi ya 1880's soon mtakaa kimya ..
mtakachobakia nacho angalau kwa mda mrefu ni mbio za nyika na hiyo yote sabanu mnafanya choice nzuri ya wakimbiaji na kidogo mnazingatia......
we jamaa ni wavituko sana.....
Usipate shida hiii yapa....kz imeisha[emoji23][emoji23][emoji1787]View attachment 1479682
mbona sehm fupi sana. hii ilitakiwa iende mpaka bagamoyo
hebu elezea hii mkuu kidogo. hii itasaidia sana ku develop kigamboniujenzi wa oxygen production plant
View attachment 1478310
stay updated... naleta miradi yote inayotekelezwa au inayotazamiwa kutekelezwa Tanzania
nitaanza na mtandao wa reli... kuna reli wanataka kujenga kutoka CBD mpka kigamboni kupitia nyerere bridge