Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bwawa la kufua umeme la Ethiopia na Mto Nile inaweza kuleta vita kati ya hizi nchi mbili za Ethiopia na Egypt. Egypt ni kama wamejimilikisha Mto Nile
View attachment 1478820
Tweet ya billionaire wa Misri
View attachment 1478821
other tweets



hii kitu mbaya sana, imagine umejenga bwawa lako kwa matrilioni ya hela afu majamaa hawataki ujaze hilo bwawa
Hehe kuna tension hapa kinoma yanj
 
Wiki leaks wameliamsha kenya
Mambo ya ukabila nini..raila..ingieni twitter search wikileaks
IMG_20200615_060218.jpg
IMG_20200615_060210.jpg
IMG_20200615_060233.jpg
 
sana.. ile hela ya kujenga bwawa ni kubwa sana ase afu eti unapangiwa kulijaza
Hawa wamisri wajinga Sana, Kama wanaona maji hayatoshi si wayazuie tu yasiingie baharini.
Walishawahi kusema eti hata sisi tusipeleke maji shinyanga na tabora.
Hivi mwanza wana taarifa ziwa limejaa kupita kawaida tunatamani maji yapungue huku😉
 
Hawa wamisri wajinga Sana, Kama wanaona maji hayatoshi si wayazuie tu yasiingie baharini.
Walishawahi kusema eti hata sisi tusipeleke maji shinyanga na tabora.
Hivi mwanza wana taarifa ziwa limejaa kupita kawaida tunatamani maji yapungue huku

kuna mvutano huko.. nimesoma tweets, wanasema ethiopia wanachangia uwepo wa mto nile kwa zaid ya 90% kwa kutoa maji kutoka miinuko (hills) iliyopo huko kwao, sasa nikajiuliza wanashindwa nn kublock hizo channels (ethiopia) wakiwa hukohuko nchini kwao
 
Back
Top Bottom