Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,133
Duh kama demu wangu
Duh kama demu wangu
Imekuingia hyo[emoji382][emoji382][emoji382][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umefikiria hadi mwisho umeleta huu upupu
Mh alfu nmesafiri mzee ..hawa watoto hawa mda mwngne [emoji23][emoji23]..ila nmemzoom sio yeye[emoji23] Kama hakukuaga imekula Kwako Boss.
Hyo hela ya nje bado ni nyingi ukilinganisha na ya ndani, na bado mna aminishiwa km hamukopi eti mnatumia hela za ndani huku deni likipanda tu[emoji1787][emoji1787]Deni letu ni dogo sio kubwa kama la kwenu Hakuna nchi ambayo haidaiwi
Hahahaa!!kwn unajua jkia terminal ilijengwa liniStop being stupid.
The construction of terminal 3 begun during Kikwete's time.
How can we believe you for what you are trying to insinuate? Give us more details of the matter!Kuna a thin line between herbal medicine na upumbavu wa kiaina, that have seen in Tz., guess works kibao na deliberate idiocy[emoji23][emoji23], have read some threads na nikaona upumbavu flani. Let's not go there., sazingine your people are an embarrassment, from the top to the least[emoji23][emoji23]
Nani kakuambia hatukopi, sisi tunakopa kwa kulingana na mahitaji muhimu tu, kwanza tunahakikisha kwamba nguvu yetu ya ndani inatumika kwa umakini bila ubadhilifu wa pesa zetu, sehemu ndogo iliyobaki ndio tunaenda kukopa. Kenya mnakopa kila mradi, pesa ya ndani haitumiki vizuri zaidi ya mishahara na rushwa.Hyo hela ya nje bado ni nyingi ukilinganisha na ya ndani, na bado mna aminishiwa km hamukopi eti mnatumia hela za ndani huku deni likipanda tu[emoji1787][emoji1787]
Hivi hii Tv siioni siku hizi, kulikoni??? View attachment 1478817
Hii yavhapa Bongohiv ni ya wap hii?
angalieni ulipaji wa madeni yao...
View attachment 1478818