Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_8841.jpg

IMG_8838.jpg

IMG_8837.jpg

IMG_8839.jpg

IMG_8840.jpg

The view from Namanga.
 
Tukisema hapa Dar iko mbele ya Nairobi mnabisha, umeletewa picha ya Dar ww Unaleta render, yn vitu ambavyo nyie mna dream kuwa navyo tayari Dar iko navyo, ila hakuna kitu nyie mnacho Dar haina
Labda their mighty and beloved Kibera slum & Co. Dar hatuna na haitawahi kutokea kamwe!
 
mkuu hayo yote ni mabalaaa mzee watakuja kuelewa tu....hawa wakikuyu....

tuwaache waendelee kupost upper hill yao miaka nenda rudi..... wenzao tunachomoka zetu kivyetu vyetu
Wazee wa upper hill na west land, kila siku hzo hzo tu wenzao tuna develop kwa kwenda mbele wao wameganda tu na west land yao, ila leo Simon umejua kuwanyoosha, umeweka hapa miradi ambayo itatekelezwa in the near future, na kinachowanyima raha zaidi ni uncle Magu akisema ujue anafanya, tofauti na jubilee mpk leo wanahangaika kujenga BRT
 
Ninachomkubar magu hapoi kila siku anakuja na project mpya na inafanyika ndani ya mda..
 
Back
Top Bottom