Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 3,063
- 8,227
Na zinazokuja zitakuwa na inflight entertainment nzuri zaid wamesemaYah, kwa ndege zetu zote Airbus zimekuwa zikisifiwa sn.
Na zinazokuja zitakuwa na inflight entertainment nzuri zaid wamesemaYah, kwa ndege zetu zote Airbus zimekuwa zikisifiwa sn.
U mean vichochoro kama hivi vya jiji chafu la nairoberry?Tunataka kuona hizo vichochoro za cbd si Barbara za brt,hehehe
Kama vile Nairobi cbd hupendeza na mitiinabid tuje na mpango wa kupanda miti sehem ambayo haiathiri gari kupita au watu kupita.. kama hapa [emoji116] kutapendezesha sana... sanasana barabara za BRT
View attachment 1476858
Ndida anaweka picha kavu,wewe unatuwekea filter na make-ups kibao..unajielewa kweliNaelewa dar sana,hapa ni nje ya cbd nataka kuona katikati kama hii hapa
View attachment 1476791
Wakenya wana roho mbaya sanaWakenya waamua kuwa Support watanzania nchini mwao kwa kugoma kufanya kazi na kuandamana
Ndo mana huwa nasema hapa Wakenya sio ndugu zetu ni jirani tu km jirani wengine, huo msemo wa cjui ndugu zetu cjui nininini huo ni msemo wa kijamaa na ndiyo umekuwa ukituponza sn cc WaTz.Wakenya wana roho mbaya sana
Alisema atahama. Tungoje. Lipo laja tena kwa kishindo. Atashangaa.
[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] even this ship was built by Kenyans, so yet we didn't forget it[emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye stadiums utachekwa. Tanzania is far far ahead.A part from Nyayo, 6 other stadia are to be completed in Kenya in the coming 6 Months.
Wote
Bukhungu phase 2
Kamariny
Kipchoge
Kinoru phase 2
Nyeri
View attachment 1476978View attachment 1476979