Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah! Bonge la Bingo kwa tanesco

Hii migodi ndio tunaanza kuifaidi sasa back and forth

Hope hizi 6 billion zitakua kwa mfumo wa foreign currency

Hii ni bonge la bingo. Hata wakilipa kwa local currency sio mbaya.

Kumbuka uagizaji wa mafuta utapungua maana migodi mingi inatumia mitambo ya kuendesha kwa mafuta. Hivyo haitatumika hela nyingi kwenda nje kuagiza hayo mafuta hila itabaki hapa ndani.(TANESCO)
 
Mkuu nimejaribu kuifikiria hyo bilioni 6 na zaidi kwa mwezi na tena ni kwa mwekezaji mmoja tu, unajua co mchezo, yn naona kama ni ndoto.
 
Kulipa kwa foreign currency is viable economically, it tends to increase country's foreign currencies reserve.
 
Mkuu nimejaribu kuifikiria hyo bilioni 6 na zaidi kwa mwezi na tena ni kwa mwekezaji mmoja tu, unajua co mchezo, yn naona kama ni ndoto.

Hapa bongo kuupandisha uchumi ni mipango tu, Hapo nchi ina save sana hela za kigeni kwa kupunguza uagizaji wa mafuta nje.

Sasa wale wa gesi asilia wakikomaa kuweka vituo kila mahali watu wataacha kutumia mafuta watajaza gesi maana ni rahisi na inaenda umbali mrefu. Napo hapo kuna hela nyingi tu ipo.
 
Dah yn hilo likifanikiwa na miradi ya maji safi na salama nchi nzima ikiisha, ile tafsiri ya maisha bora kwa kila mtanzania ndo itakuwa imetafsiriwa na awamu hii.
 
Mnafikaje CBD huko Kwenu???? UBER[emoji23]

Adjustments.jpg
 
Dah yn hilo likifanikiwa na miradi ya maji safi na salama nchi nzima ikiisha, ile tafsiri ya maisha bora kwa kila mtanzania ndo itakuwa imetafsiriwa na awamu hii.

Kwa jinsi mambo yanavyokwenda kwa ground, na mipango iliyopo kwa kweli kuna matumaini makubwa sana kwa maendeleo ya nchi yetu. The future is promising. With a lot of opportunities.
 
Sio mnaonesha magorofa wakati wananchi wenu wa chini wanafanya biashara kwnye mazingira mabovu, ayo majengo wanaenda kukaa watu wenye hela tu ambao ni wachache yaan mnazidi kuongeza gape la walionacho na wasio nacho.

Ona Tanzania inavyo jenga mazingira bora na mazuri kwa wafanyabiashara wadogo na wasio nacho ili wazidi kupanda juu na kupunguza hilo gape[emoji116][emoji116]
View attachment 1477162
Bwahaha!!yani soko hko anajenga rais[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom