kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,819
- 3,176
Masoko dyo nini sasa,huwa twafanya shopping huko kwa malls, hahahaNyie mumekwisha..Nchi ishapoteza muelekeo yaan mnaomba mkopo kulipa madeni.
Hapa ukiwaambia wakenya watume masoko yao ya kisasa kama haya yanayojengwa TZ watabaki kutuma shopping mall[emoji1787][emoji1787]...ukiwauliza je mlala hoi ataenda nunua nyanya shopping mall..[emoji1787][emoji1787]