Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tamu sana , siku twende tushindanishe na Land cruiser yako au Crown nikuache kama umesimama [emoji23], Twende bwagamoyooo tukale madafu pembezoni mwa bahari.
cc ngap kwan ??😂😂😂 cruiser huiwez wewe 😃😃😃 ntumie number yako inbox tupange bro nitakua na crown alaf ndinda kwann tusipange wote tukutane wana group twende bagamoyo organize basi
 
Nimetoa New York Times.
Screenshot_20200612-235743.png
 
cc ngap kwan ??[emoji23][emoji23][emoji23] cruiser huiwez wewe [emoji2][emoji2][emoji2] ntumie number yako inbox tupange bro nitakua na crown alaf ndinda kwann tusipange wote tukutane wana group twende bagamoyo organize basi

Imeisha hiyoo Boss [emoji23]
 
Pesa TZ ipo ya kutosha, hivyo ni vitu vya kawaida kijana, hata wengine hapa JF tunamiliki hizo unazoona ni dream cars kwako... 🙂
Mzee ,try overtaking economies of GHANA,ETHIOPIA and ANGOLA before you even touch KENYA,your dismissed CLOWN!
 
Sio mnaonesha magorofa wakati wananchi wenu wa chini wanafanya biashara kwnye mazingira mabovu, ayo majengo wanaenda kukaa watu wenye hela tu ambao ni wachache yaan mnazidi kuongeza gape la walionacho na wasio nacho.

Ona Tanzania inavyo jenga mazingira bora na mazuri kwa wafanyabiashara wadogo na wasio nacho ili wazidi kupanda juu na kupunguza hilo gape[emoji116][emoji116]
IMG_8943.jpg
 
Wakenya bhana, yaani nyie kila siku mnadondoka uko angani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Back
Top Bottom