Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kubali yaishe dar hakuna dealership ya Porsche Nairobi kunayo....sijui mbona unashinda ukitapatapa ukipost sportcars za mitumba na ziko kila shithole Hadi Burundi
Unapiga kelel y kuwa n dealership akili unayo kwel ww?
 
The massive sgr bridge at Nairobi national park
NJ8rf2u.jpg
 
nusu ya budget inaenda kulipa madeni alaf bado deni linapanda kuelekea 7trillion ksh (debt to GDP ratio is almost 70%) alaf wako hapa kukenua meno

kenyatta kaua nchi kipindi chake alone deni limepanda by over 340%


Kwisha kazj
 
Alie roga hii familia ako na huruma, wengine ufunga mtu, hanyi wala hakojoi hadi arudishe mali alio iba,
Nasikia na kuona kwa TV sijui kama haya ni ya kweli ama ni show tu!., Kenya kuna mganga nilikua nimemuskia alikua analisha wezi nyasi., mimi siya amini mpaka nione na macho
Nyie kwny uchawi mbona baba lao
 
mpumbavu ni wewe hapo ambae umeshikiliwa na akili za mapambio ili kulisha tumbo lako..nimekwambia uzoefu wa state corporations hasa kwenye sekta kama ya viwanda zitafeli kama ambavyo zilikufa hapo awali,ulivyokuwepo poyoyo hakuna kitu ambacho kinafanywa sasa na hakijawahi fanywa na serikali hapo awali.
Afu sitafuti kuwa mjanja kwako au kwa yeyote nachangia maoni yangu bila kushikiliwa na nyie mnaoishi kwa kazi za propaganda na mapambio..Unadhani hiyo mifuko inafanya biashara za kuchakata bidhaa za ngozi au juice? acha undezi wewe mpiga vuvuzela
Kwamba huoni mambo mapya yanayofanyika kwenye uongozi huu, ww ni wa kuachwa tu wala sio wa kujibiwa cz nahisi una jealous za kichawi
 
Back
Top Bottom