mpumbavu ni wewe hapo ambae umeshikiliwa na akili za mapambio ili kulisha tumbo lako..nimekwambia uzoefu wa state corporations hasa kwenye sekta kama ya viwanda zitafeli kama ambavyo zilikufa hapo awali,ulivyokuwepo poyoyo hakuna kitu ambacho kinafanywa sasa na hakijawahi fanywa na serikali hapo awali.
Afu sitafuti kuwa mjanja kwako au kwa yeyote nachangia maoni yangu bila kushikiliwa na nyie mnaoishi kwa kazi za propaganda na mapambio..Unadhani hiyo mifuko inafanya biashara za kuchakata bidhaa za ngozi au juice? acha undezi wewe mpiga vuvuzela