Yani mzee hio agriculture sector vitu vimepamba motoDah safi sana, yn km naiona Tz ya 2025
$$A clown who knows a lot of nothing about Nairobi.View attachment 1475065View attachment 1475066View attachment 1475067View attachment 1475068
Huyo jamaa ni Mkenya, anaishi Tz.Watu wengine km akili ni ziro sasa ww kizuri kwako ni kipi..au wanacho sema wa kenya....upumbavu mwingine bwana....![]()
Heheheheheeee umenifurahisha ulipogusia hyo no.2 kuna watu vilaza hawajui akili ya JPM kuanza miradi ya kimkakati, hayo yote wanayoyalalamikia yatakuja kuwa solved na hii miradi ya kimkakati, ila kinachofurahisha cku hz wapinga maendeleo wamekuja na kamsemo kapya ambako kwangu nakaona km kanaashiria ku surrender, eti utawasikia wakisema "uyo Jpm kawapumbaza kwa vitu vidogo vdg tu mnapagawa" ss mwambie akutajie hvyo vitu vdg vdg km atakujibuYani mzee hio agriculture sector vitu vimepamba moto
1..Tanchoice 15mil usd meat processing chinja ngombe buku kwa siku ... kimeanza kazi..500 ajira direct ..export revenues boosted..plus tunapata leather ambayo inaenda kutumika no 2.
2..Karanga leather factory Moshi..hapo inatoa ajira 7000.. Kinatengeneza viatu pair laki nne kwa mwaka..export revenue zake kwa mwaka €20million..projected.
3..Vingunguti machinjio ya kisasa nayo inaisha mwaka huu uwezo wake wenye ni ngombe buku na mbuzi 4000..ngozi inarudi no 2..ajira na exports pia
4..Huko Ruvuma , Mbeya watu wanapanda maparachichi kwa speed..nasubir tu mpango wakuweka Cargo terminal ..ndege za mzgo zianze
5..Huko Mwanza swala la samaki sitaki kugusia kila mtu anaona
6..swala la uvuvi indian ocean ..kuna mpnago wa kunua ma boat makubwa na kujenga fishing port ..nahis itaanza mwaka huu wa fedha




Hivi ni vitu ya kawaida!Nothing special,used supercars are popping up everywhere in Africa villages,am yet to see NEW SUPERCAR DEALERS in dar.
ndio style yenu ya kubisha.huwa hamtaki kukubali chochote.Hivi ni vitu ya kawaida!Nothing special,used supercars are popping up everywhere in Africa villages,am yet to see NEW SUPERCAR DEALERS in dar.View attachment 1475200View attachment 1475201View attachment 1475202View attachment 1475203View attachment 1475204View attachment 1475205View attachment 1475206View attachment 1475207View attachment 1475208View attachment 1475209View attachment 1475210
Hivi ni vitu ya kawaida!Nothing special,used supercars are popping up everywhere in Africa villages,am yet to see NEW SUPERCAR DEALERS in dar.View attachment 1475200View attachment 1475201View attachment 1475202View attachment 1475203View attachment 1475204View attachment 1475205View attachment 1475206View attachment 1475207View attachment 1475208View attachment 1475209View attachment 1475210
Yn ww hapo ndio umepost sn cyo...tulia tu usiamshe walio lala wwHivi ni vitu ya kawaida!Nothing special,used supercars are popping up everywhere in Africa villages,am yet to see NEW SUPERCAR DEALERS in dar.View attachment 1475200View attachment 1475201View attachment 1475202View attachment 1475203View attachment 1475204View attachment 1475205View attachment 1475206View attachment 1475207View attachment 1475208View attachment 1475209View attachment 1475210