Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikajua hata unaleta urus au aventedor kumbe galardo....na aliye kwambia ww roll royce n sport car nani ww....
 
siku hzi mpaka gari za congo ni za kwenu😂😂😂😂👇👇
EA6D1DEB-445A-4B42-BB74-FBDC8AB24854.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii ndio gani tena? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ugonjwa wa kuimba![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nimecheka yani hii dunia 😂😂
 
Alie roga hii familia ako na huruma, wengine ufunga mtu, hanyi wala hakojoi hadi arudishe mali alio iba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Nasikia na kuona kwa TV sijui kama haya ni ya kweli ama ni show tu!., Kenya kuna mganga nilikua nimemuskia alikua analisha wezi nyasi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mimi siya amini mpaka nione na macho[emoji23][emoji23]
nimecheka yani hii dunia [emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na nyie dead state, itabidi tukomboane, fufukeni mtuvute, ama tuinuke tuwafufue, wa kwanza kupona na akoe mwenzake[emoji23][emoji23]deal?
kwanza mutoke kwenye failed state [emoji23][emoji23]
 
Alie roga hii familia ako na huruma, wengine ufunga mtu, hanyi wala hakojoi hadi arudishe mali alio iba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Nasikia na kuona kwa TV sijui kama haya ni ya kweli ama ni show tu!., Kenya kuna mganga nilikua nimemuskia alikua analisha wezi nyasi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mimi siya amini mpaka nione na macho[emoji23][emoji23]
mengine kweli mengine uzushi😂😂
 
Back
Top Bottom