Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kikifa kama vingine ndo utajua alitakiwa ajenge nanai uzuri past experience ipo kama hutaki kujifunza hilo suala jingine,wewe unachojua ni hizi simulizi tuu lakini biashara ina protokali zake
Jana nilikuwa naangalia tv mfanyabiashara dodoma analalamika serikali kuwalazimisha kuhamia soko la jipya la ndugai..alisema watu wa maofisini wanaamini sana kwenye maandishi na kompyuta zao sijui aliwaza nini yule jamaa
Ww uko neg sana ...sijui unawaz nn...sasa kikifa ndilo unalo waza...unaonekan n muajiriw kabisa hujui chochote kuhusu biashara...nadhani ww ndio ume base kwenye simulizi....better utafakari kabla y izo blablabla....inaman ww kuskia Tz ni ya pili kwa mifug n haina viwanda vya ngozi haikushangazi ila serikali kujenga kiwanda inakuchanganya
 
Wabongo tufike mahala tubadilike,barabara za single lane zimepitwa na wakati kujengwa mijini na ni aibu zaidi kwa jiji kuu kama la Dar yaani hata Dodoma imeanza kuepukana na huu ushamba wakati haina traffic jam kama Dar sas hii inashangaza
Unajua..mm naona..unafwatilia vitu nusu nusu..hio road itakuwa 4 lanes
 
uwekezaji wa serikali unachekesha,ukisoma majumuisho ya hotuba ya wizara ya ujenzi kwa miaka 5 iliyopita imeongeza paved roads za trunk roads roughly 500km zimekamilika,nyingi ziko hatua mbali mbali za ujenzi but how comes pesa yote inaishia kwenye miradi isiyokuwa na impaccts kubwa kwenye uchumi kama ndege na reli na madaraja ya kukatisha ziwani na baharini wakati mikoa ambayo Jk aliiacha bado haijaunganishwa na lami? Serikali ingewekeza pesa za kutosha kwenye barabara ucchumi na maisha ya watu vingeimarika sana lakini kuongezea train speed kwa pesa ndefu sio dili kabisa
Hehe ....unajua kila sector lazima ipewe kipaumbele....iwe ndege ..reli , madaraja..u need to see things in bigger persepctive
1..Daraja la Ziwan najua umeongelea kigongo- busisi..impact yake ni kubwa sana....kutumia saa moja kuvuka sio mchezo ..una reduce to 8 min naomba ufwatilie linaunganisha wapi na wapi

2...Unahakika kweli hamna project za bara bara.umefwatilia loan ngap za AFDB tume sign kwa ajili ya western regions...Katavi- Tabora-Kigoma -Bukoba

3.Alfu unafahamu impact ya reli vizuri kweli mzee ..au basi tu unapinga imradi
 
Ww uko neg sana ...sijui unawaz nn...sasa kikifa ndilo unalo waza...unaonekan n muajiriw kabisa hujui chochote kuhusu biashara...nadhani ww ndio ume base kwenye simulizi....better utafakari kabla y izo blablabla....inaman ww kuskia Tz ni ya pili kwa mifug n haina viwanda vya ngozi haikushangazi ila serikali kujenga kiwanda inakuchanganya
wewe una shida zako za uelewa,wapi duniani uliona serikali inafanya biashara ikafaulu? sasa niwaze wakati tayari uzoefu uko,unajua state corporations zilikufa kwa ajili gani? aya umesinda ila naweza kukupa list ya miradi mingi iliyoanzishwa na state kwa ngazi ya halmashauri imekufa na pesa kupotea..Hiyo ni kazi ya sekta binafsi kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi tuu na si vinginevyo.Mimi sipendi hii dhana ya state kufanya biashara kwa sababu inapoteza pesa zetu za kodi bila sababu
 
Hii tabia ya stste kufanya biashara haina afya huko baadae ilimshinda nyerer mashirika na viwanda vya umma vilikufa vyote labda wakikamilisha wakibifsishe ila wakisubili wakiendeshe kitakufa itakuwa hasara,biashara na gpa za darasani ni vitu viwili tofauti
Psssf sio serikali..watakijali kama wanavyojali biashara zao nyingne..mbona wanajenga malls na majengo wanaya manage vizuri..kwann washindwe hiko
 
Should i quation your thinking capacity?...kwanza jua hii ni nchi y aina gn? Pili unapaswa kuwa mtu muelewa siyo kuleta ubishi wa kitot n kijinga...yn swala liko wazi kabisa kuwa mashirika yalikuwa yana sua sua kipindi cha mwinyi lkn hayakufa ...mpka pale alipo kuja mkpa kuya binafsisha ndio lilitokea anguko kubwa ...ww unasoma historia gn ...?...alafu huwa unaripoka bila kujua kitu mfano barabar aliyo post ndida ni ya 4 line ukalika na kuanza kutoa shomb bila kujua unaongelea nn....jitafakari...acha upinzani wakitot
 
Hehe ....unajua kila sector lazima ipewe kipaumbele....iwe ndege ..reli , madaraja..u need to see things in bigger persepctive
1..Daraja la Ziwan najua umeongelea kigongo- busisi..impact yake ni kubwa sana....kutumia saa moja kuvuka sio mchezo ..una reduce to 8 min naomba ufwatilie linaunganisha wapi na wapi

2...Unahakika kweli hamna project za bara bara.umefwatilia loan ngap za AFDB tume sign kwa ajili ya western regions...Katavi- Tabora-Kigoma -Bukoba

3.Alfu unafahamu impact ya reli vizuri kweli mzee ..au basi tu unapinga imradi
Mzee unamdanganya nani kwamba kuvuka kigongo -busisi kwa pantoni ni saa moja? nimetumia sana hiyo pantoni ni wastani wa 30-40 minutes tu pale,afu wananchi wengi wa mwanza wanatumia pantoni ya kamanga kwa hiyo hiyo project sio worth ki hiivyo bora hizo pesa zingefungua miundombinu mingine ya mwanza yenye tija kwa watu
Pili sio afya miaka 5 imepita barabara za western ziko vilevile yaani kiufupi zitakamilika awamu ya pili.Tuweni serious barabara zina impacts kubwa kwa wananchi na uchumi kuliko miundombinu yoyote
Kumbuka bln 700 zingetosha kuunganisha Morogoro na Ruvuma kwa lami,Chunya-Tabora/Singida kwa lami nk nk sasa kuzizika kwenye daraja la show off sio sawa
 
Psssf sio serikali..watakijali kama wanavyojali biashara zao nyingne..mbona wanajenga malls na majengo wanaya manage vizuri..kwann washindwe hiko
biashara ya real estates ni tofauti na ya viwanda,hii ni ngumu saaaana inahitaji wazoefu ndio maana unakuta haina wawekezaji
 
naona unaumia sana serikali kujenga viwanda.. nashauri watafute basi matajiri wenzako mje mtujengee kiwanda cha bidhaa za ngozi
 
Hii tabia ya stste kufanya biashara haina afya huko baadae ilimshinda nyerer mashirika na viwanda vya umma vilikufa vyote labda wakikamilisha wakibifsishe ila wakisubili wakiendeshe kitakufa itakuwa hasara,biashara na gpa za darasani ni vitu viwili tofauti
Mbona tulivyobinafsisha ndio vimekufa kabisa? Na hata hivyo serikali kuu haijengi viwanda ila taasisi ndio zinajenga pamoja na investors.
 
Mzee unamdanganya nani kwamba kuvuka kigongo -busisi kwa pantoni ni saa moja? nimetumia sana hiyo pantoni ni wastani wa 30-40 minutes tu pale,afu wananchi wengi wa mwanza wanatumia pantoni ya kamanga kwa hiyo hiyo project sio worth ki hiivyo bora hizo pesa zingefungua miundombinu mingine ya mwanza yenye tija kwa watu
Pili sio afya miaka 5 imepita barabara za western ziko vilevile yaani kiufupi zitakamilika awamu ya pili.Tuweni serious barabara zina impacts kubwa kwa wananchi na uchumi kuliko miundombinu yoyote
Kumbuka bln 700 zingetosha kuunganisha Morogoro na Ruvuma kwa lami,Chunya-Tabora/Singida kwa lami nk nk sasa kuzizika kwenye daraja la show off sio sawa
Kutumia pantoni tu sio economically efficient ..angejenga barabara mngesema hamna daraja....project zote zina umuhimu wake huwezi kujenga barabara tu ukaacha madaraja..we unaona ni grandiose project

Ni sawa na ATC mlisema ka nchi kama rwanda kana ndege sisi Tz hatuna zimeanza kununuliwa una mind
 
Mzee unamdanganya nani kwamba kuvuka kigongo -busisi kwa pantoni ni saa moja? nimetumia sana hiyo pantoni ni wastani wa 30-40 minutes tu pale,afu wananchi wengi wa mwanza wanatumia pantoni ya kamanga kwa hiyo hiyo project sio worth ki hiivyo bora hizo pesa zingefungua miundombinu mingine ya mwanza yenye tija kwa watu
Pili sio afya miaka 5 imepita barabara za western ziko vilevile yaani kiufupi zitakamilika awamu ya pili.Tuweni serious barabara zina impacts kubwa kwa wananchi na uchumi kuliko miundombinu yoyote
Kumbuka bln 700 zingetosha kuunganisha Morogoro na Ruvuma kwa lami,Chunya-Tabora/Singida kwa lami nk nk sasa kuzizika kwenye daraja la show off sio sawa
Kigongo busisi kuna foleni ya magari huwa inachukua hadi 4hrs kuvuka plus waiting time. Na kuna ferry 3 lakini kila muda unavyokwenda zinazidi kuzidiwa,
Mabasi na malori yote kwenda kagera, Geita, kigoma mpaka nchi jirani yanapita hapa, kamanga barabara ni mbovu na kivuko ni kidogo.
 
hajielewi huyu... mim niliwahi kufika pale mida ya saa 11 jion.. mpka nikapanda pantone ilikuwa ni saa 2 usiku
 
Dodoma itakua mji wa kipekee sana east africa bila kusahau eneo la ikulu lenye ukubwa km 28 bila kusahau wanyama ndani ...ikulu io itakua kubwa afrika
 
wewe una shida zako za uelewa,wapi duniani uliona serikali inafanya biashara ikafaulu? sasa niwaze wakati tayari uzoefu uko,unajua state corporations zilikufa kwa ajili gani? aya umesinda ila naweza kukupa list ya miradi mingi iliyoanzishwa na state kwa ngazi ya halmashauri imekufa na pesa kupotea..Hiyo ni kazi ya sekta binafsi kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi tuu na si vinginevyo.Mimi sipendi hii dhana ya state kufanya biashara kwa sababu inapoteza pesa zetu za kodi bila sababu
Wewe ni mpumbavu tatizo unajihisi mjanja

Mifuko ya hifadhi ya Jamii duniani kote inafanya biashara

Katika biggest banks 10 duniani, almost 5 ni banks za serikali

Uelewa wako ni finyu sana tatizo unajitia mjanja
 
Back
Top Bottom