Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Leo tuko sumbawanga
Ngong Hills Wind power station ilijengwa 1993. Ulikuwa umezaliwa?mulifanya kitambo mwaka gani ??? si turkana mumefungua juzi tu 😀😀😀
labda mulijenga ushuzi 😂😂😂😂Ngong Hills Wind power station ilijengwa 1993. Ulikuwa umezaliwa?
Leo tuko sumbawanga
Hao ndio walivyo hao, hata electric sgr wanasema walijenga zamani sema ilisombwa na mafurikolabda mulijenga ushuzi![]()



Safi sanaKimara - Kibaha yatakatisha madaraja ya juu 7. Hints: madaraja hayo ndio yale ambayo wakenya wanayaita flyover
View attachment 1467274
Hiyo interchange Ina cm ngapi?Hizo vitu unapost ni filter tupu kijana wa tandale. Picha ya tatu kutoka mwisho ni Donholm interchange na ndio hii hapa bila filters View attachment 1465903
Mbona unarudia rudia..picha Ile Ile usiku mchana ...hiyo Ni overpass tunavyo vingi Sana hivyo viuchafu
Round about with underpassesTangu lini wewe ukaelewa Kiingereza? If I ask you to define the term interchange utaweza? Hiyo interchange ndio hii hapa in full just in case you didn't get a full view of itView attachment 1465920
Wtf..tazara Ni Bora Mara 100
Hiyo Ni interchange?Take it easy Methuselah. I know you are just bitter you don't have such in Dar. He has confused it with Lang'ata road interchange below. You can see the similarity between the two in design and even the neighbouring area so be easy View attachment 1466047