nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,127
- 1,839
walivyowachafu kipindupindu kitawakosa vipi?
walivyowachafu kipindupindu kitawakosa vipi?
huku nzige, kule korona, cholera ipo nyumbani, ukabila ndiyo sala yetu, MTAKOMA MWAKA HUU
Kelele tupu.
Plaque ya rais ndio board. Hii sio barabara ya kijiji.
Nikipata board zingine nitakupa nikitembea huko.
View attachment 1456017
Section zisizo za juu zishaanza.
View attachment 1456014
nairobi ndiyo kuna mabanda hivyo, ya mbuzi yana afadhali
View attachment 1456016
Naipenda sana hii project ya Kiwanda Cha viatu na ngozi..plus ile ya tan choice ya meat processing ..tulikuwa hatuja invest sana hii sector
Unajua main objective ya NSSF si kufanya biashara! sasa ujue sheria haiweruhusu ku-invest 100% kwenye biashara only in partnership! Kuwa mwangalifu na unachokiomba maana hiyo sheria ni kupunguza risky ya mafao yako kutumika vibaya!Naipenda sana hii project ya Kiwanda Cha viatu na ngozi..plus ile ya tan choice ya meat processing ..tulikuwa hatuja invest sana hii sector
Niliona PSSSF wanasema 5% only zimebaki na imekuwa slowed na covid cause wa italiano hawajaja
Nataka niskie pia NSSSF wafungue ma viwanda yao wenyewe kulikuwa na project yao kiwanda cha sukari sijapata updates View attachment 1456545
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafi ya mbuzi aiseeSibora mngekua mnakula mavi ya mbuzimsinge pata kipindupindu sasa nyinyi mnakula mafii ya binadamu ....stupid
Send by APOLO 1



Huajajibu swali, je ukihesabu lanes kw barabara huaga unatoa lanes za brt sioBarabara za brt tz ni tofauti ujenzi wake ndiyo maana hua tunabomoa barabara yote kujenga brt tunatumia zege
Send by APOLO 1



Ni lanes pia za hiyo barabara but zipo special kwa ajili ya BRT tu ndio maana wakati mwingine tunazi-ignore kwa maana kwamba zenyewe hazipitishi haya magari ya kawaida. Siyo huko kwenye BRT zenu za kuchora mstari mwekundu kwenye lami hazina adabu mkokoteni unapita, Bodaboda anapita, bajaj anapita, ambulances zinapita na hivyo vibasi vyenu vya majaribio ya brt yenu pia vinapita hapo hapo. Sasa sijui hiyo nayo ni BRT au ni Bogus Rapid Transit/TransportHuajajibu swali, je ukihesabu lanes kw barabara huaga unatoa lanes za brt sio
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha!!msaidie mwenzakoNi lanes pia za hiyo barabara but zipo special kwa ajili ya BRT tu ndio maana wakati mwingine tunazi-ignore kwa maana kwamba zenyewe hazipitishi haya magari ya kawaida. Siyo huko kwenye BRT zenu za kuchora mstari mwekundu kwenye lami hazina adabu mkokoteni unapita, Bodaboda anapita, bajaj anapita, ambulances zinapita na hivyo vibasi vyenu vya majaribio ya brt yenu pia vinapita hapo hapo. Sasa sijui hiyo nayo ni BRT au ni Bogus Rapid Transit/Transport

hzo pia ni lanes tuUnapaswa kujua,TZ sisi sio C&P,pia unapojenga bus stand,ni zaidi ya kuhudumia mabasi tu,mfano Mbezi bus stand ina faida nyingi sana;Nionyeshe nchi gani sai ulimwenguni wanajenga stendi kw ajili ya mabasi karne hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Utasikia vipi na media zenyu chwara chwara, zimekanyagiwa chini na serikali., controlled information kama Chinaalaf cholera inawaua 2020 zinamsaada gani kwa wakenya??? tanzania cholera nina miaka mitano sijaisikia


, check your last year newspapers kaka., ama google., sio miaka mitano







Napaelewa Tanzania, just started, bado sana, wewe mshamba ile kidogo inakushangaza



., exposure muhimu kaka


Dar is slum hii moja?





Sikia ww jamaa, ucje gusa kwenye hilo eneo utaumia hakuna mahali kenya itaweza Tanzania kwenye suala la street roads yn usiguse kabisa, namaanisha nnachosema ucguse mzee, ulizia kitu kinaitwa DMDP yn usicheze kabisa kuna mikeka huku mtaani sema watu humu hawajaamua, ningependa battle inayokuja iwe paved roads za mitaani af tuone km mtaingiza pua, usiguse mzee