kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,812
- 3,168
😂 😂 wabongo jameni,mwafrahisha sanaOohh sory nilisahau kumbe we ni mjaluo
😂 😂 wabongo jameni,mwafrahisha sanaOohh sory nilisahau kumbe we ni mjaluo
Kama ni project za infrastructure watu inabidi waelewe hizo ndo blood vessels za nchiNchi yetu inaelekea kuzuri sana, kinachotakiwa ni kuzidi kuwa wabunifu na kuwa na subira mbn hiki tunachokifanya ni moja wapo ya strategies za kukuza uchumi.
Nchi yetu inaelekea kuzuri sana, kinachotakiwa ni kuzidi kuwa wabunifu na kuwa na subira mbn hiki tunachokifanya ni moja wapo ya strategies za kukuza uchumi.
Next Ni pale mbezi mwisho watandike interchange ingine iilioenda shule
Tena hili liliwezekana baada ya World Bank na IMF kulazimisha Tanzania kuingia uchumi wa kibepari!Kenya lazima ikae tu muda si mrefu, sisi Uchumi wetu ulipararaizi baada ya Vita ya Kagera! Hivyo soon lazima heshima ya Tanzania kurudi mahala pake itarudi tu.View attachment 1456454
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi mbili tofauti yake nini?
Kwenye design, zinatofautiana kitu asilimia 10%.
nchi ya kitu kidogo, wanapigania kula, huku nkunya land sitizeni wakisubiri rushwa kwa wagombea wakwareone thing i noticed recently is how so peaceful our country is right now, even though we have the general election on october 2020... ila wenzetu wana uchaguzi 2022 lkn tambo za uchaguzi zipo kila sehem huko kenya