Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lol. Cheka tu ukijifanya mwerevu.
Magufuli atafunzwa diplomasia kama mtoto. Simu moja akachekeshwa na Kenyatta akafungua.

Uerevu uliyo Kenya ndio umefanya tukulie Kilimanjaro tangu uhuru ilhali Kilimanjaro iko Tanzania.
Unaongea kiswahili kibovu wala hueleweki
 
Kanye ulale. Lakini kumbuka kuweka nauli ya 2022.



Wakati unasubiri 2022, itabd uje kwnz huku ushangae
tapatalk_1589032703464.jpeg
 
Hakuna lolote unajua kuhusu Kenya. Ndio maana unadhani Tanzania ulaya.

View attachment 1456030

List ni ndefu kuliko hii.
Hawa ni purely manufacturers. Sio importers ama distributors.

Benmed Pharmaceuticals
Beta Healthcare International Limited
Biodeal Laboratories Ltd.
Bayer East Africa Limited
Biopharma Limited
High Chem East Africa Ltd
Alpha Medical Manufacturers
Comet Healthcare Limited
Cosmos limited
Ivee Aqua EPZ Limited
Aventis Pasteur SA East Africa
Concepts (Africa) Ltd
Dawa Ltd.
Didy Pharmaceuticals
Elys chemicals Industries Ltd
Gesto pharmaceuticals Ltd
GlaxoSmithkline [GSK ]
Njimia Kenya
Regal Pharmaceuticals
Manhar Brothers (Kenya) Ltd
Novartis Rhone Poulenic Ltd
Phillips Pharmaceuticals Limited
Hightech Pharmaceuticals and Research
Infusion medicare
Jaskam & Company Ltd
Laboratories & allied (Lab &allied)
Kam Industries Ltd
Mac’s pharmaceuticals
Sphinx Pharmaceuticals ltd
Universal Corporation Ltd
alaf cholera inawaua 2020 zinamsaada gani kwa wakenya??? tanzania cholera nina miaka mitano sijaisikia

 
Back
Top Bottom