Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Makonda bhn huwa wakati mwingine sipendi kumsikiliza lkn anachekesha sn, lkn kiukweli hii terminal ya Dodoma ni hatari mzee, wale Wakenya waliokuwa wanaibeza nadhani now wameshakaa kmy
leo ndio nimeisoma kwa umakini hii design:
1590175807356.png
 
YAMEKWISHA:Tanzania, Kenya zakubaliana namna ya kupima madereva Corona

habarileo.co.tz17h

[https://res]

NCHI za Tanzania na Kenya zimeafikiana kuwa madereva watatakiwa kupimwa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona katika nchi zao na kupewa cheti maalum kitakachowatambulisha kutokuwa na maambukizi ambacho kitakuwa halali kwa siku 14 pekee.

Baada ya siku hizo kukamilika, madereva hao watalazimika kupimwa tena wakiwa nchini Kenya au Tanzania na endapo watagundulika, watarudishwa katika nchi zao.

Hayo yameelezwa leo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwele leo, Ijumaa, mpakani Namanga baada kumalizika kikao kilichomjumuisha Waziri wa Uchukuzi wa Kenya, James Macharia.

Kukutana kwa mawaziri hao na hatimaye kufikia makubaliano hayo kumetokana na mazungumzo yaliyofanyika hivi karibuni kwa njia ya simu baina ya Rais John Magufuli na Uhuru Kenyatta wa Kenya.

Akiwa mkoani Singida, Rais Magufuli alibainisha kuwa wameshamaliza sintofahamu hiyo hivyo ilikuwa ni suala la watendaji wa serikali zote mbili kukutana.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi Google earth ya Dar inakaa vumbi tu? Barabara nyembamba, zisizo pangwa, za vumbi
Ya Nairobi lami inaonekana kote.
Nilipotembea huko Dar lami nje ya CBD ilikuwa moja moja. Danganya toto jinga.

Dar
View attachment 1456021

Nairobi
View attachment 1456023
kaangalie hadi chato street roads 80% ni lami kama vipi muulize Uhuru atakua na picha mbili tatu😂😂😂😂
 
nilifkiri cholera, floods na corona ndio zinaua kumbe mpaka curfew👇👇👇👇

 
Back
Top Bottom