Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maji yapo nairobi..kulkua na hitilafu kidogo kutokana na landslides kuharibu mifereji ya maji ila sasa yasharekebishwa.. ..geza ufahamu kenya imeishinda Tanzania kwa access to piped water

Sent using Jamii Forums mobile app
Km utatumia Google ambapo hawaja update taarifa, ila kiuhalisia hamuwezi kufanana na Tz kwenye sekta ya maji hata kidogo, yn Tz hakuna shida ya maji kabisa, hata vijijini huko, ngj report mpya ije mtajificha.
 
After Kenya na huwa mnaishi kutuimbia hapa avocado tunazoexport zimetoka Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Ss nyie mna ardhi ya kulima avocado nyie, hilo zao linahitaji maji mengi je nyie mna maji? hyo namba 2 tumekaa hapo baada ya Magu kukataza kupeleka kenya so now tunauza wenyewe subiri muone miaka 2 ijayo km mtaingia japo top 10
 
Aisee, kizazi cha sasa kitafaidi kuona kwa macho land reclamation ikoje (bandari na daraja), sisi tulikuwa tanasimuliwa tuu na waalimu wetu ambao hata wao walikuwa hawajawahi kuona.
Ss nyie mna ardhi ya kulima avocado nyie, hilo zao linahitaji maji mengi je nyie mna maji? hyo namba 2 tumekaa hapo baada ya Magu kukataza kupeleka kenya so now tunauza wenyewe subiri muone miaka 2 ijayo km mtaingia japo top 10
Yaani tukishanunua ndege yetu ya mizigo, ndiyo tutaona kuwa uchumi wa Kenya ni chui wa karatasi.
 
Sababu ya kukihamisha?

Kilikua mlangoni Boss , Nadhani. Wamesogeza mbele kidogo mita kadhaa.

IMG_8145.JPG



Adjustments.JPG



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom