ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,065
- 3,217
their masters will come to their rescue don't worry tayari wametembeza bakuli!
Hivi sasa wamehama katika bakuli ni level ya kapu 😁
their masters will come to their rescue don't worry tayari wametembeza bakuli!
Maji yenyewe hakuna.Hatuna huo utoto wa kupost miradi ya maji...nini special hapo sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua Tz hivi sasa tunapambana na korona na propaganda za Kenya na wakubwa zake wa ulayaSi unaona hata wale waandishi wakajiponza kwenda Tanzania kutafuta habari itakayowafanya watrend,kitakachowakuta watajuta
Mnavyotaka sifa za kijinga jinga muwe na mradi mkubwa wa maji msipositi humu kweli ? Kubali tu ukweli kwamba ruto na uhuru wamefanya Kenya kudurora katika maeneo mengi ya kiuchumi na kijamii hilo siyo siri.Hatuna huo utoto wa kupost miradi ya maji...nini special hapo sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
There is no water in your capital city.Hatuna huo utoto wa kupost miradi ya maji...nini special hapo sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuruto kubwa walilofanya ni kusupply maziwa ya brookside east africaMnavyotaka sifa za kijinga jinga muwe na mradi mkubwa wa maji msipositi humu kweli ? Kubali tu ukweli kwamba ruto na uhuru wamefanya Kenya kudurora katika maeneo mengi ya kiuchumi na kijamii hilo siyo siri.
Ila mna utoto wa kupost majengo, ss maji na majengo kipi kianze?Hatuna huo utoto wa kupost miradi ya maji...nini special hapo sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo kwanza hata m-post?Hatuna huo utoto wa kupost miradi ya maji...nini special hapo sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
mmelisikia kuhusu hii?
So maji sio special kwenu¿??Hatuna huo utoto wa kupost miradi ya maji...nini special hapo sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
safi
Wameomba kucheza game na tz tumeingiza timu uwanjani wasubiri kilio tuu.mim naona kenya wanatafuta angle/technique ya kuzuia hata magar ya Tanzania ya mizigo kupita. na mambo ya utalii


utalii ndio wasahau kabisamim naona kenya wanatafuta angle/technique ya kuzuia hata magar ya Tanzania ya mizigo kupita. na mambo ya utalii