huyu anatetea ugali tu
After Kenya na huwa mnaishi kutuimbia hapa avocado tunazoexport zimetoka Tanzaniafrom zero to second
Sie wa Mufindi tutamuuzia nani miti ya nguzo kama wadau wamehamia kwenye concrete electric poles?This road links Mbagathi Road to Upperhill.
It is opening up this place into another district in the coming few years
View attachment 1445961View attachment 1445962View attachment 1445963View attachment 1445964View attachment 1445965
io itasaidia kupata mbao nying na cost yake itakua nafuuSie wa Mufindi tutamuuzia nani miti ya nguzo kama wadau wamehamia kwenye concrete electric poles?
Halaf utasikia wakunyaa sie twazalisha kwa wingi parachichifrom zero to second
sisi tumeanza kuekeza kwenye avocado juzi tulikua zero na sasa tuko wapili within a year just imagine and have a pic😂😂😂😂After Kenya na huwa mnaishi kutuimbia hapa avocado tunazoexport zimetoka Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Good for you ila muache kupenda ubishi na propagandasisi tumeanza kuekeza kwenye avocado juzi tulikua zero na sasa tuko wapili within a year just imagine and have a pic![]()
ukweli ni kwamba parachichi nyingi mulikua munatoa tanzania na hili mbona liko wazi mpaka mwakani tanzania itakua ya kwanza kwenye uzalishaji wa parachichi mark my words
sio bwawa hilo ni kijitoSi ndogo unavodhaniaView attachment 1454007View attachment 1454008
Sent using Jamii Forums mobile app
Avocados zenyewe nyingi Kenya mnakuja nunua huku tz... Tukipiga pini hamtakua nazo nyingi za kusafirisha