Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uwiiiiiiiiiiiiii sijawahi kucheka hivi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

EEti tutawaweka quarantine siku 14 wao na ndege yao
 
Mimi nimecheka balaa,
But seems wanaloose biashara, minofu ilikuwa inasafirishwa kupitia Nairobi sasa basi, parachichi nazo ndio hivyo,
Viwanja vya ndege vya mwanza na kilimanjaro viko maeneo strategic sana kama vikiwa utilised and equipped fully.
 
Safi sana, taratiiib tunaenda kuelewana

Nimeshangaa pia kwenye Parachichi tumepanda chat kwa kasi ya kimbunga, saivi tumewawashia overtaking indicator, na tu natakiwa tuwapige ban kabisa kuja kuchukua Parachichi Tanzania iwe marufuku kabisa.

Kenyatta sio mjinga kuja kuomba msamaha hara hara hivi, anajua anachofanya na sisi ndio wakati wa kuwaonesha jeuri
 
Nchi yetu ilikuwa inaelekea kubaya sana, hata tanzanite inayopatikana kwetu kwa export tulikuwa Tuko nyuma kweli. Yaani kwa maoni yangu tudhibiti kabisa tanzanite iwe exported from Tz only.
 
wamebadilisha lugha kwa sasa yani wanasema foreigners wakimaanisha watanzania indirect way
still haiwahusu wao wakipata hizo results warudishe watu na si kuanza kusema idadi fulani imetokea mpaka wa Tanzania!
 
kenya hii game imewashinda kwasabbau target kubwa ilikua utalii lakini ndio wamefeli kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nchi yetu ilikuwa inaelekea kubaya sana, hata tanzanite inayopatikana kwetu kwa export tulikuwa Tuko nyuma kweli. Yaani kwa maoni yangu tudhibiti kabisa tanzanite iwe exported from Tz only.
tanzanite imedhibitiwa bro nina jamaa yangu kule anakwambia tanzanite haitoki hata ukucha πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio maana unaona hata kwenye uuzaji wa tanzanite kenya umeshuka vibaya sana hawana hamu na magufuli
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘

Jumapili baada ya kumshukuru Mungu kutuepusha na Corona tunafanya yetu
 
Utafiti wa Maraisi East Africa
-Magufuli kafanya Utafiti kwenye vipimo vya maabara.

-Museveni kafanyia Utafiti wa lishe

Uhuru loading...
 
887F02F5-85C5-4989-A9A5-40F495A2A4E5.jpeg
 
Back
Top Bottom