Lake Michaelson
yet hamna maji Nairobi?
Lake Michaelson
huyu anatetea ugali tu

huyu anatetea ugali tu
True inafanana na greenhouse,bora hata render za msalato airport japo nazo hazivutii sanaKusema ukweli hii airport looks like a modern large scale chicken farm., shamba la kisasa la kuku wengi., compare with other airports, hii haipo kabisaaa, kubwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji yapo nairobi..kulkua na hitilafu kidogo kutokana na landslides kuharibu mifereji ya maji ila sasa yasharekebishwa.. ..geza ufahamu kenya imeishinda Tanzania kwa access to piped wateryet hamna maji Nairobi?
hahahahaha eti maji yapo nairobi unafkiri hapa nairalandπππππMaji yapo nairobi..kulkua na hitilafu kidogo kutokana na landslides kuharibu mifereji ya maji ila sasa yasharekebishwa.. ..geza ufahamu kenya imeishinda Tanzania kwa access to piped water
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππππ