Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha kujifanya kipofu....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa vp walikosea eehh
tapatalk_1586713716007.jpeg
 
Ile express way,na overpass from jkia to westlands itakuwa noma kuliko hii
Ile nakwambia ni moto mazee, halafu pia na hii ya dongo kundu ikimalizika itakua ya kijanja sana...

Then ukumbuke mombasa kuna expansion ya miritini road, wale wajapan hyo barabara wameivuruga balaa..kuna kitu cha maana kinapikwa pale kitaenda hadi kiunganishwe na ile barabara ya marikani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaa, leo nimecheka sana jamani hasa pale nilipo ona mkenya analalamikia umeme kua wame hifadhi vitu frijini visije kuharibika halafu kapiga picha friji limejaa githeri tupu, yani picha ya komora ikanijia coz comments zake humu zinaonyesha ni mtumiaji mzuri wa githeri, halafu mkifika humu mnajifanya wazee wa GDP kumbe ushuzi wa githeri

Kande la Miezi mitatu mkuu , halafu halijakobolewa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom