President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,760
- 89,785
Mbn nilieleza mkuu:
Geza - kitengo cha SGR na mambo yote yanayohusu miundombinu
Joto la Jiwe - anapambana na propagandist wote wakikunya
Ichoboy - mambo yote yanayohusu CBD hapo atoki mtu
Simon - takwimu za kiserikali uchomoki hapo
Baba yao - sindano ndogo ndogo jamaa hakuachi
Lwiva - shombo zote anadili nazo yeye
Ndinda - picha zote kali za Dar anazo yeye
The best 007 - midfield kisheti a.k.a kiraka
Bantugbro - anakaba kote kote
Tuusan - diplomasia
Ngokongosha - updates
Mgagaa na upwa - wakumaliza
Walker255 - English yn wakenya wote wanaojifanya wanajua ngeli hapo wamedunda
Narton jr - slums![]()



Uhuru asipoangalia atasababisha riots! Wape wiki mbili hivi stock ziishe na nyang'au waanze ulanguzi!Haaahhhaa yaani jana tu,leo tayari mmeanza kuomba omba msamaha....jikazeni bwana
Mh..linahusiana na wizi?Yah,renamed as lake kamau
Sasa nimeelewa, mwanzoni nilifikiri wanahamisha kituo cha palm beach upande mkabala na Jengo (ndiyo maana sikuelewa kwa nini wafanye hivyo).Kilikua mlangoni Boss , Nadhani. Wamesogeza mbele kidogo mita kadhaa.
Ila Ippmedia nalo lina ukauzu haiwezekani tani 20 za samaki zisafirishwe kwa $80,000! Thamani ya hao samaki watakuaje? Nimeingia chimbo na kutafuta ukweli!

Ha Haa.
joto limeanza sasa👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
joto limeanza sasa👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿