Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,980
Karibu sanaMuda si mrefu niko hapo tuimbe pambio za bwana .
Karibu sanaMuda si mrefu niko hapo tuimbe pambio za bwana .
Na bei zitapanda.Wale wanawake walioenda kurekebisha makalio na maumbo kule hospital ya mloganzila jijini Dar es Salaam wameruhusiwa kurudi mtaani baada ya operation hiyo.
Kwa sasa nawaasa vijana wenzangu tuwe makini, watu wametoka garage hivi karibuni [emoji1787]
NB: Wanaume tunawindwa sana aisee [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]View attachment 2801358
Mhmh ukiwa na hela nyingi huwa inakosa matumizi, i believe waliofanya hiyo surgery wanajiweza, angalia wasanii wakubwa matajiri umeshaona wanavaaga mavitu gani?!!? wengi hawapendezi maana wanavaa hovyo tu ila ulizia alichokivaa ni bei gani utafunga mdomo, so hela ikikosa matumizi watu hujiingiza kwenye mambo mengi sana mengine ya kishenzi, ila matako makubwa yapo kwenye soko sana karne hii ndiyo maana wachache wanayaboresha hapo mtulaumu sisi wanaume maana mkitembea hivi huwa mnatingisha network kichwani [emoji6]Inawezekana kweli pesa ni kikwazo rafiki ila kuna wenye pesa hawana huu upuuzi. Tujitahidi kuridhika na tulivyoumbwa. Mtu anaejitambua hawezi risk afya yake ati kisa kumridhisha mwanadamu mwenzake. Haipo hiyo, ni kukosa kujiamini kulikovuka mipaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooooh 😋 ok wait nifike nikushow mkoani king cobra🤣 acha kuangalia hizo vitu za kitoto kwenye Television🤣🤣🤣 nilikuwa nimesahau kabisa.
Nimemaanisha Nipo kitandani naangalia movie
Mazuri sana yakiwa kwenye nguo kupigia picha na kutamanishia mabwana za watu, ila wengi wakivua hawavutii,Woi sio kila kitu kinapunguzika...tuishie hapa...yatosha siku kwa maovu yake, kwaheri mama
Muende PM mnatingisha network za watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilikuwa nimesahau kabisa.
Nimemaanisha Nipo kitandani naangalia movie
🤣🤣🤣 hii movie ni kali hujui tu.Ooooh 😋 ok wait nifike nikushow mkoani king cobra🤣 acha kuangalia hizo vitu za kitoto kwenye Television
Karibu sana
Nakupenda vivyo ulivyo, ukijichonga sio wewe niliyevutiwaInawezekana kweli pesa ni kikwazo rafiki ila kuna wenye pesa hawana huu upuuzi. Tujitahidi kuridhika na tulivyoumbwa. Mtu anaejitambua hawezi risk afya yake ati kisa kumridhisha mwanadamu mwenzake. Haipo hiyo, ni kukosa kujiamini kulikovuka mipaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣 Nicole anatia kinyaa aiseeKuna like tako sijui ni yule dada anaitwa Nicole jamani nooo kwa kweli...na yule sijuii Ni Malaikaa...hapana aisee mapaja tumikono khaaaa...vimiguuuu nooo aiseee
Usitegemee ukweli kutoka kwa wana mitandao japo hao wanapendeza sema kuna wakati km yanakuwa upande full tafraniHivi yule aliongeza? Sio kwamba alichonga kiuno tu km hamisa?
Naifahamu,sipendi aina hiyo ya movies😊🤣🤣🤣 hii movie ni kali hujui tu.
Inaitwa Gran Turismo
Huyo lazima arudi gereji, fundi alichoka akawa anakandika tuKuna like tako sijui ni yule dada anaitwa Nicole jamani nooo kwa kweli...na yule sijuii Ni Malaikaa...hapana aisee mapaja tumikono khaaaa...vimiguuuu nooo aiseee
Watu wenye mko na vindimu mnakuwaga wachungu sana ila uzuri wenu hamuachiki kijinga jinga kuna mdau kasema nyamitako wengi wanaachika kirahisi ni kweli ila mpk kesho sijui sababu🤣🤣🤣 Nicole anatia kinyaa aisee
Te amo😇Muchas gracias mi belleza especial
🤣AiseerMhmh ukiwa na hela nyingi huwa inakosa matumizi, i believe waliofanya hiyo surgery wanajiweza, angalia wasanii wakubwa matajiri umeshaona wanavaaga mavitu gani?!!? wengi hawapendezi maana wanavaa hovyo tu ila ulizia alichokivaa ni bei gani utafunga mdomo, so hela ikikosa matumizi watu hujiingiza kwenye mambo mengi sana mengine ya kishenzi, ila matako makubwa yapo kwenye soko sana karne hii ndiyo maana wachache wanayaboresha hapo mtulaumu sisi wanaume maana mkitembea hivi huwa mnatingisha network kichwani [emoji6]
Mimi siko na vindimu ila yakizidi yanaboaWatu wenye mko na vindimu mnakuwaga wachungu sana ila uzuri wenu hamuachiki kijinga jinga kuna mdau kasema nyamitako wengi wanaachika kirahisi ni kweli ila mpk kesho sijui sababu
😍 ...wait nikamalizie kulima ,baadaeTe amo😇