Sasa mkuu utahama hicho kitengo au utaongeza umakini?😂😂😂Na sample zao hizi hapa. Unakuta binti tako kubwa anaburuta lakini tupaja twembambaaaa! Maana wanachukua tu mafuta ya tumboni na kwingineko (pamoja na silicone) na kuyashindilia matakoni. Halafu tako la Mloganzila hata mtimbwiliko na mmeng'enyuko wake unatia shaka...jionee!🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Na huko mbele ya safari wakianza kuzeeka yanawaletea matatizo wengi wao inabidi wafanye operesheni tena kuyatoa. Ni ujinga mtupu! 🚮🚮🚮
View attachment 2801404
View attachment 2801409
Ndio naomba jibuHahahaha, unataka nijibu ama ?
Alisema ye hayo sio mambo yake sikuhizi 🏃🙈🤣Sasa mkuu utahama hicho kitengo au utaongeza umakini?😂😂😂
Its a Long plan, they look for a short cut life isn't guaranteedWafanye mazoezi[emoji23]
Hahahahahaha, nitakujibu baadae,ngoja kwanza tuchangie hiliNdio naomba jibu
Kwani yana kazi gani makalio kwenye 6kwa 6 jmn
Maana haiwezekani jmn wimbi la wadada wafanye hivi!
Cc Shimba ya Buyenze Glenn Da'Vinci
Naomba mnijibi hapa
Kazi ya taco zaidi ni chakula cha macho.Ndio naomba jibu
Kwani yana kazi gani makalio kwenye 6kwa 6 jmn
Maana haiwezekani jmn wimbi la wadada wafanye hivi!
Cc Shimba ya Buyenze Glenn Da'Vinci
Naomba mnijibi hapa
Mimi siwezi kukujibu hapa maana nakuheshimu sana Mama Mchungaji. Labda nije nikujibu PM 😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Ndio naomba jibu
Kwani yana kazi gani makalio kwenye 6kwa 6 jmn
Maana haiwezekani jmn wimbi la wadada wafanye hivi!
Cc Shimba ya Buyenze Glenn Da'Vinci
Naomba mnijibi hapa
Sexual spice [emoji6]Ndio naomba jibu
Kwani yana kazi gani makalio kwenye 6kwa 6 jmn
Maana haiwezekani jmn wimbi la wadada wafanye hivi!
Cc Shimba ya Buyenze Glenn Da'Vinci
Naomba mnijibu hapa
Ameokoka tacoz???😂😂Alisema ye hayo sio mambo yake sikuhizi 🏃🙈🤣
Sasa hiviiii???Hahah, nataka sasa hivi bwana
Hata sigara ina madhara ila inauzwa madukani na serikali inajuaHalafu walivyo wajanja hata hawaja waambia madhara watakayokutana nayo baada ya miaka kadhaa.
Absolutely 😊🥂Sasa hiviiii???
Ok nitahitaji drum roll ..spotlight na grand announcement for something this important,Uko tayari?
Tupo wengi sana, tuliostaafu mapema, kabla ya hii new revolution!Mm pia ni mstaafu kitambo sanaaa
Hata chakula sembuse sigara! 😄 😄 🤣Hata sigara ina madhara ila inauzwa madukani na serikali inajua
🤔🤣🤣😳😳🙌Jmn Leo mbavu zangu uwiiiiBaada ya uwekezaji sasa wanaanza kuwinda vibopa ili warudishe mitaji waliyo wekeza kwenye makalio, lakini kwa jinsi ambavyo huduma za uswahilini nisivyo siziamini sitoshangaa siku malaya mmoja akiangusha makalio barabarani
Khaaaa 🤷hivyo tuKazi ya taco zaidi ni chakula cha macho.
Wenye taco wajiulize kwanini huwa wanaachwa haraka katika mahusiano
Angalizo limetolewa juu hukoKwa hiyo hao wanaotoka huko anakua hana alama zozote kweli ? labda kovu au mshono ?