Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,689
- 99,471
We mloganzila hiyooo?🤣🤣🤣
Mpk miguu inarekebishwa km hujui
Ili kupata uwiano
Jmn acha sie tuliokubaliana na tulivyoumbwa tukae pembeni,yetu macho
We mloganzila hiyooo?🤣🤣🤣
Mpk miguu inarekebishwa km hujui
Ili kupata uwiano
Jmn acha sie tuliokubaliana na tulivyoumbwa tukae pembeni,yetu macho
Wewe ndio member pekee nikikuona nacheka hadi napaliwa, huwa unaifanya siku yangu kuwa rahisi😂😂Ipo huku..
We nenda mi sahivi nimeamia kwenye haya mamichezo..Waandae wale wahudunu nisijekunywa maji😂😂
Pesa za kuchezea hivyo sina mkuu. Nimeridhika na uumbaji wa Mungu.NAjua hutaenda, vimodo, flat vitapaa sana
Hahahahahaha, wasiwacheke wenzaoKuna wanawake mnanunua yale mawigi milioni moja nk yapo ya laki, 50 ni wewe na bei yako tu nyie pia mmekataa vile Mungu amewaumba msiwacheke wenzenu kuongeza nyama
Dah! Kwahiyo mkuu mi ni kituko kwako ipo siku italipwa hii...😂Wewe ndio member pekee nikikuona nacheka hadi napaliwa, huwa unaifanya siku yangu kuwa rahisi😂😂
Ni suala la muda tuHii imeenda
Aah hapanaMsihukumu kabla hujahukumiwa, ni sehemu ya urembo mbona wengine mnavaa vizuri, mnatoboa masikio, pua na mnafanya make up, mnaongeza na miwani hata kama huumwi macho urembo, ila tusihukumu ni urembo tu kama wengine mnapvyopaka wanja, tatizo hapo ni hizo hela zinawauma [emoji16]
Usiporidhika basi utakuwa humtendei haki muumbaPesa za kuchezea hivyo sina mkuu. Nimeridhika na uumbaji wa Mungu.
I’ve missed you😇
Wewe sio kituko bali u mkweli sana na unajua kusimulia😂Dah! Kwahiyo mkuu mi ni kituko kwako ipo siku italipwa hii...😂
Maisha bila changamoto hayachangamki...Wewe sio kituko bali u mkweli sana na unajua kusimulia😂
Yani tafrani mkuu, na wapo wengine wanakuja nazo ofisini bila kujua moja imeanguka imebaki moja basi akifungafunga macho inakua kituko unachela... Sisi tunawapenda vivyo hivyo na tunawatolea na mahari jamaniHahahahahaha, au kuweka makope yao yale
Sio pesa tu.Msihukumu kabla hujahukumiwa, ni sehemu ya urembo mbona wengine mnavaa vizuri, mnatoboa masikio, pua na mnafanya make up, mnaongeza na miwani hata kama huumwi macho urembo, ila tusihukumu ni urembo tu kama wengine mnapvyopaka wanja, tatizo hapo ni hizo hela zinawauma [emoji16]
Japo hata hii ya kope sijawahi elewaHahahahahaha, au kuweka makope yao yale
Watoe takwimu:Wale Wanawake walioenda kurekebisha makalio na maumbo kule hospital ya mloganzila jijini DAR ES SALAAM wameruhusiwa kurudi mtaani Baada ya operation hiyo Kwa SASA nawaasa vijana wenzangu tuwe makini watu wametoka garage hivi karibuni![]()
NB: wanaume tunawindwa Sana aisee![]()
Kabisa, Mimi sijawahi kubandika kope wala kuchora wanja. Hata hiyo make up sijawahi kufanya.Japo hata hii ya kope sijawahi elewa
Ila hapana sio sawa na kuongeza na kuchonga makalio🤣🙌
Wapuuzi.
Naona jinsi soko la Vimodo litakavyokuwa [emoji91] [emoji3062] hapo baadae. Ni suala la muda tu