Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

There are currently 2711 users browsing this thread. (493 members and 2218 guests)

In one thread kwa JF New RECORD

Bold: Hawa guests wangejoin mambo yangekuwa mswano
 
Hakuna lipya hapa, bado nalia na ukubwa wa baraza la mawaziri. Hawa mawaziri ofisi ya Rais, makamu wa Rais na waziri mkuu wana fanya nini? Wizara ya maji kazi yake nini? Ushirikiano wa Afrika Mashariki inafanya nini? Kwa kifupi wizara nyingi zingewezwa kuunganishwa na kupunguza wizara kumi, ni mzigo kwa wapiga kura.
 
Zakhia Meghji yu wapi waosha vinywa wa JF! ? Mkwere nadhani anasoma JF maana madongo alopondwa Zitto jana anafuu kuhusiana na huyu mama.
mi mwenyewe ninawasiwasi hiyo sijui hata anatumia jina gani nataka ni PM.
 
hivi mawziri na manaibu wake jumla ni 49 sasa hao wote wa nini sijaona mantiki ya kuwa na baraza kubwa tena kubwa sana hivi maana kwanza ni mzigo mkubwa ka taifa maana kodi zetu kweli CHANGANYA NA ZAKO muda wote huo mtu amke kaa eti anaunda baraza la mawaziri halafu bado anatuletea maroroso matupu piga hesabu za VX 49 + new funiture za offices, hizo pesa ni madawa kiasi gani yangenunuliwa kwa ajili ya mahosipitali yetu, madawati vitabu vingapi vingenunuliwa kwa ajili ya watoto wetu!!

Inauma sana kusema ukweli ila ndio hivyo sijui amechanganya na za nani hadi akatowa baraza hilo:redfaces::redfaces::redfaces:
yaani unatamani :boxing::boxing::boxing:
 
duh!!yaaani nimeisikitikia nchi yangu Tanzania hadi uchungu umepotea wenyewe.
Na hili baraza looote litakuwa latunzwa na hela za wanachi si ndivyo?kuwataftia posho,hela za mashangingi,kuwatilia mafuta,gharama za madereva,wafanyakazi wao,nyumba zao etc etc???

We hav a very very long way to go Tanzania
Ni kweli mtaalam
 
There are currently 2711 users browsing this thread. (493 members and 2218 guests)

In one thread kwa JF New RECORD

Bold: Hawa guests wangejoin mambo yangekuwa mswano

some of the guests are members, just didn't bother to log in...

CONGRATULATION TO JF!!!

Moto ule ule!!
 
Mh! Nakulilia Tanzania, wengine wamepewa Uwaziri ili mradi ni marafiki wa karibu. Wengine wamepewa uwaziri ili kuwapunguza makali yao dhidi ya Serikali Bungeni... Yaani wizara ni nyingi kiasi kwamba nimeshindwa kumalizia kusoma baraza zima. M-baraza mkubwa hivi wa nini jamani?????????????

Aaaaarghh!!

At first time i am starting to have a sense of hostility towards the so known as Tanzania President,,,

Hata akifa leo sitasikitika.
 
matatizo makubwa yapo wizara ya Ardhi na Ujenzi. so fa naona amenifurahisha hapo

kilimo - kumweka maghembe pale ni kuchemsha
maliasili pia yule bwmdogo ataelemewa na mzigo
 
Mpende msikubali kazi kwenu, Prof Mwakyusa ni miongoni mwa Watanzania wachache wenye akili sana kitaaluma, labda siasa za ubabaishaji wa CCM zimemshinda ama hakutaka kuwa waziri tena kufanya kazi na mkwere!
alijisahau sana mpaka nyerere akawa maututi ndio akamkimbiza nje ya nchi
I know him on a persnonal level na sikatai kama ana akili sana lakini ufanisi wake katika uendeshaji sio mzuri. hata alivyokuwa mkurugenzi wa muhimbili hakuwa mkali sana
namshauri akafundishe muhimbili students need him more than kikwete does
 
Sistaangu na hazbendi wake pia out?

Aisha-Kigoda2.jpg


mohammed-kipanga.jpg

JF....It never stops to amaze me!
 
Rais wa Wadanganyika JK......HERI MIMI SIJASEMA!!


Hivi experimentation za mkwere haziishi...walau akaandika ripoti?:embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 
Hivi Utamaduni ipo chini ya wizara gani??? au ndo ile kukurupuka usingizini na kutangaza wizara bila kubalansi??
 
alijisahau sana mpaka nyerere akawa maututi ndio akamkimbiza nje ya nchi
I know him on a persnonal level na sikatai kama ana akili sana lakini ufanisi wake katika uendeshaji sio mzuri. hata alivyokuwa mkurugenzi wa muhimbili hakuwa mkali sana
namshauri akafundishe muhimbili students need him more than kikwete does

Issue ya Nyerere mkuu naijua vizuri sana! Alipimwa Muhimbili ikagundulika ana Leukemia. Mwalimu akaamua kwenda kufia BUTIAMA alikataa kila ushauri wa Madaktari wote pamoja na wa Mwakyusa. Ben Mkapa akaingilia kati kwenda kumfata Butiama na kumwambia si ombi tena ni uamuzi wa serikali akatibiwe nje. Nyerere aligoma kabisa, ila Mkapa alimlazimisha sana kwa sababu yeyote ile alikuwa anamsikiliza sana Mkapa akakubali kwenda kutibiwa nje na mauti yakamkuta huko St Thomas London.
 
mimi kuna watu wananiboa, wanaoamua kuweka list ya watu walionline.. kama mtu huna cha kuandika si unyamaze tu na kusoma tu.. orodha ya majina ya watu walio online inasaidia nini kama si kuongeza idadi ya pages.. very stupid!!
 
Back
Top Bottom