Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

Sita apata Afrika mashariki,Ujenzi Magufuli naibu Harison Mwakyembe hapa ndo kanikuna,sura nyingi za zamani,Kombani,Wasira,Husein mwinyi,Wapya Vuai kaupata nae,Nimefurahia tu kwa Magufulu tumepata dawa ya ujenzi hasa wa barabara
 
Jamani Celina Kombani hata kiingereza hajui ataiwezaje wizara ya Katiba na sheria? Je atasaidiaje/kukwamisha harakati za kudai katiba mpya?
 
1) Wizara ya ofisi ya utawala bora chikala
2) Wizara ya Mahusiano wassira
3) Wizara ya manegement – hawa ghasia
4) Wizara ya makamu wa rais – samia suluhu hassan
5) Wizara ya mazingira - therezia
6) Wizara ya waziri mkuu – william lukuvi
7) Wizara ya uwezeshaji nagu
8) Wizara ya tawala za mkoa mkuchika
9) Wizara ya fedha mkula, teu, amisilima
10) Wizara ya mambo ya ndani nahoza, kagasheki
11) Wizara ya katiba na sheria Kombani
12) Wizara ya nje membe
13) Wizara ya ulizi mwingi
14) Wizara ya mifugo mathayo d. Athayo
15) Wizara ya mawasiliano science makame, kitwanga(mawe matatu)
16) Wizara ya ardhi prof. Tibaijuka
17) Wizara ya maliasili maige
18) Wizara ya nishati ngeleja, malima
19) Wizara ya ujenzi Magufuli, Mwakyembe
20) Wizara ya uchukuzi Omary N
21) Wizara ya Viwanda na Biashara Chami-
22) Wizara ya Elimu Dk Kawambwa
23) Wizara ya Afya Hadji H Mpanda
24) Wizara ya Kazi Ajira Kabaka, Mahanga
25) Wizara ya Maendeleo ya jamii Sophia SImba
26) Wizara ya Elimu habari vijana na michezo Nchimbi
27) Wizara ya Ushirikiano EAC Sitta
28) Wizara ya Kilimo Magheme, Chiiza
29) Wizara ya Maji Prof Mwandozya

thanks mkuu.....thank God ba mkwe yumo
 
Hii wizara ya elimu kupewa Shukuru kawambwa, mimi sijakubaliana nalo
 
Naombeni mtu ambaye yuko sharp na quick, acompile the full list ni update 1st post.
 
Mzee Makamba na kujigamba kote kule kuwa mwanawe lazima awe waziri,hata unaibu waziri hajaupata dah! hii nimeipenda!
 
Hongera raisi kikwete kwa kutupa raha kwa hili,umafanya jambo la busara wizara kwa mtu anayefaa..
 
Angalau ujenzi kweli utaenda... haya sasa uchambuzi tuanze. maana ooh zitto lol sijui nani.. As it stands mtandao wananguvu kiasi lakini at least kina Mwakyembe nao wapo, 6 nae yupo kimtindo....
 
Back
Top Bottom