Namuona rafiki yangu Ephraim Kibonde akiongea, kusema ukweli, anavyoongea leo, anaonekana kama ni mtu mwenye akili nzuri kabisa, huwezi amini kile kichwa kimejaa maji tupu!, nadhani kusema ukweli Ephraim Kibonde ana akili nzuri tuu, ila anapozidisha jokes, watu tunamuona kama chizi fulani mpaka inafikia anapozungumza setrious kama leo, ndio tunamuona ana jipretend serious kwa vile jokes ndio his way.
nimesha refresh mpaka nahisi kizunguzungu
refresh tena
Gurudumu, haya ni maswali yahusuyo right to privacy, hayatakiwa kujadiliwa, mambo ya maumbile na matendo, binafsi, ni mambo binafsi.hivi kibonde ana meno mangapi?
And the waiting goes on....